Corona: Baada ya Ikulu ya Kenya, ofisi za Safaricom, kirusi chavamia kambi za KDF kwa nguvu

Weka dates., old news, which is a fact, CCM wont permit such news. eti kila siku., peleka ujinga mbali.
Huu upumbavu wenu lazima muache, onyesha "stream media" yoyote ya Tanzania ambayo imetangaza data za Kenya ambazo sio "official", wanezipata toka kwa upinzani.
 
Acha wanyooshwe! Mungu ataendelea kuwanyoosha ile mbaya Kunyaland hawa!
 
Weka dates., old news, which is a fact, CCM wont permit such news. eti kila siku., peleka ujinga mbali.
Kama Serikali haijatangaza ninyi mnapaswa kukaa kimya, au kusema kwamba "Serikali ya Tanzania haijatangaza", hampaswi kuokoteza taarifa mitaani, pale Serikali iliposema sasa hivi kuna wagonjwa wanne, hamkuifanya ni habari muhimu badala yake mlipinga?.

Hii tabia yenu ya kujaribu kuipaka matope kwa kuokoteza habari kutoka vichochoroni bila kuzihakikisha ndiye inayozidisha uhasama na chuki kati ya Kenya na Tanzania
 
Which attitude, like I care about Tz
, you are a by the way kinda country.
Ninyi ni wapumbavu sana, shughulikeni na ukabila, rushwa, njaa, police brutality, crime, political violence na slums, achaneni na kuipaka matope Tanzania. Kila uchaguzi ukipita lazima mtasema Tanzania haikuichagua Kenya, nani kasema kwamba Tanzania lazima ichague Kenya?, hovyo kabisa ninyi.
 
Naona dawa imekuingia ..hehee hii issue ya Tanzania kuchagua Kenya inakuuma sana.
 
yahani we jamaa unaonekana ni zero brain kabisa kwahiyo unavyodai Tz kua ni LDC na kenya mtakuaje labda, mahana huwezi kukosa adabu kiasi hicho kwa nchi inayokurisha na kukufanya uende chooni, halafu kwani hujui bongo land ndio kuna mabilionaire wa east africa, sasa nyie kuishi kwenye slum ndio maendeleo, umefeli sana next time kua na adabu unapoandika kitu kuhusu Tz, the real giant of east africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…