Corona: Idadi ya maambukizi ndani ya Ikulu Kenya yaongezeka kwa kasi kubwa, wakenya waanza kupagawa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE: Pima, Pima, Pima, inaonekana mnazembea kupima ndio sababu maambukizi yanaongezeka kwa kasi, Hahahaha, Hahahaha.

======

The world Today is in a fight with an invisible enemy, Covid-19. The virus that is believed to have emanated from China have found it's way to all corners of the world, with Kenya not being spared.

The virus in Kenya as reported by the Ministry of Health is taking toll with new record cases announced on daily basis. In total, the numbers at the moment stand at over 4200 persons, with a new daily record of 213 person's announced in the last 24 hours. 10 persons have also lost their lives at the hands of the virus.

Several days ago, the State House of Kenya announced that the ministry have recorded 4 cases in the state House. The message brought fear in the State dwellings as well as across the country, a thing that showed that nobody was safe or immune at the hands of the virus.

In a recent twist regarding the status of the virus in Kenya, it was revealed that 12 other person's had teasted positive in the State House, some of whom were residing in the state house. This brought the total number of persons with the virus in the State House to be 16.

Through the spoke person Ms. Kanze Dena, State house confirmed the figures but affirmed that the president and his family were tested and we're Covid-19 free. The infected person's were reportedly being taken care of in a health facility in Nairobi. But the news of the virus in the State House has given Kenyans lots of fear since the place is heavily guarded.

The spoke person also took the platform to warn the country and the citizens that the virus is serious and that nobody was immune to it. She called on kenyans to be careful and follow the Ministry of Health instructions so as to combating the virus.

The state is currently sweating on maintaining the situation through putting strict measures. The situation have reportedly been contained

Source: Kenyans Worried on Covid-19 Numbers at State House
 
MK 254 hapa hawezi kusogeza pua yake!! New cases for our neighbour is now 213! S hot spot in East africa.

Nilimsikia waziri wa afya wa Kenya akisema watawaruhusu wagonjwa warudi nyumbani kwa kuwa asymptomatic cases huwa hawaambukizi! There is no scientific evidence so far to support such a view! No wonder new cases will keep on increasing!
 
MK 254 hapa hawezi kusogeza pua yake!! New cases for our neighbour is now 213! S hot spot in East africa.

Nilimsikia waziri wa afya wa Kenya akisema watawaruhusu wagonjwa warudi nyumbani kwa kuwa asymptomatic cases huwa hawaambukizi!! There is no scientific evidence so far to support such a view! No wonder new cases will keep on increasing!
@mk 254 yupo leo hajapewa hotspot hana bundle si mnajua mambo ya lokdown.

Na mvua imenyesha kwenye kaunti ya nyeri alikuwa bize kukinga maji ya mvua.

Wakenya muwe makin saana korona isije ikawafanya kama warundi. Njoon tanzania tuwafundisha namna ya kuikimbiza korona.
 
Idadi ya wanaokufa kwa siku imeanza kuongezeka kwa kasi sana, jana pekee wamekufa kumi, au unataka hadi afe Uhuru ndio muanze kushituka?

Hawatangazi? Au umesikiawapi? Give me official link to that? Why is the case difference in Tanzania? I live 100m from a University in Tanzania, they students are here and no one death? Can anyone explain how is this possible?
 
joto la jiwe,

Nasikia Uhuru ameongeza dozi ya kuvuta bangi na kunywa pombe Kali eti amadhibiti corona, siku sinyingi ataanza kujifukiza bange.
 
Hawatangazi? Au umesikiawapi? Give me official link to that? Why is the case difference in Tanzania? I live 100m from a University in Tanzania, they students are here and no one death? Can anyone explain how is this possible?
Kwani wewe ni RAIA wa nchi gani?
 
Hawatangazi? Au umesikiawapi? Give me official link to that? Why is the case difference in Tanzania? I live 100m from a University in Tanzania, they students are here and no one death? Can anyone explain how is this possible?
Ninahisi tunajichanganya hapa, Mimi ninazungumzia Kenya, Jana idadi ya waliokufa Kenya ni kumi, wewe unazungumza nchi gani?
 
Ninahisi tunajichanganya hapa, Mimi ninazungumzia Kenya, Jana idadi ya waliokufa Kenya ni kumi, wewe unazungumza nchi gani?
Likely ni Mkenya anayeishi Tz na itakuwa anashangaa tunavyosema yanatokea Kenya halafu Tz hayaoni.Anahisi kinachotokea Kenya kuhusiana na covid19 kinafaa pia kionekane na huku kwetu. Kama ni kufa sana basi wote tufe sana.
Ndo nilivyomuelewa hivyo.
 
Ninahisi tunajichanganya hapa, Mimi ninazungumzia Kenya, Jana idadi ya waliokufa Kenya ni kumi, wewe unazungumza nchi gani?

Why Kenya has that problem and not Tanzania? This can’t be.... najaribu tu kuelewa kenya And Tanzania just the same!
 
Wapo kimya huwezi waona wakipost thread kama hizi ila ingetokea Tz ungeona zile id ambazo huwa zinajitokeza tu kwa ajili ya kufungua nyuzi wakisikia habari yoyote ya kuwafurahisha.

Why Kenya has that problem and not Tanzania? This can’t be.... najaribu tu kuelewa kenya And Tanzania just the same!
Kenya na Tanzania ni nchi mbili tofauti sana, ukiacha kuwa ni majirani na kuna makabila mengi tumeingiliana, lakini hatufanani kwa lolote zaidi ya lugha ya Kiswahili, ona hapa
1) Kenya wana ukabila wa kutisha, Tanzania hatuna ukabila
2)Kenya wana rushwa mbaya, Tanzania sio sana
3)Kenya hakuna usalama, Tanzania ni vinara wa amani.

Vitu hivi vitatu vinaweza kukupa picha kwanini Tanzania tumefanikiwa kudhibiti Corona wakati Kenya wanashindwa.

jaribu kujiuliza, inakuwaje Kenya inashindwa kuwadhibiti raia wake kule Turkana na Samburu kiasi kwamba wanamiliki silaha za kivita hadharani na Serikali inajua lakini inashindwa kuchukua hatua?, kama wameshindwa kitu kidogo kama hicho, unategemea wataweza kuzuia Corona?. Njoo Tanzania ujaribu kumiliki hata kisu kinyume cha sheria usikilize mziki wake

Kenya is a failed state, it fails almost in everything except corruption.
 
Those 3 points has nothing to do with covid-19
 
Why Kenya has that problem and not Tanzania? This can’t be.... najaribu tu kuelewa kenya And Tanzania just the same!

acha kutuchuria! Hasidi mkubwa wewe unaona wivu kwamba Tanzania huoni vifo vya Corona Mlitamani sana Tanzania tupuputike Barabarani kwa Corona ila Mungu katustiri waja wake. Lolote Baya unaloomba juu ya TANZANIA likurudie wewe na FAMILY YAKO.
 
Back
Top Bottom