Corona: Baada ya Ikulu ya Kenya, ofisi za Safaricom, kirusi chavamia kambi za KDF kwa nguvu

Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
6,148
2,000
Weka dates., old news, which is a fact, CCM wont permit such news. eti kila siku., peleka ujinga mbali.
Huu upumbavu wenu lazima muache, onyesha "stream media" yoyote ya Tanzania ambayo imetangaza data za Kenya ambazo sio "official", wanezipata toka kwa upinzani.
 

magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,781
2,000
Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya.

Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu.

Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini Wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona.
Acha wanyooshwe! Mungu ataendelea kuwanyoosha ile mbaya Kunyaland hawa!
 

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,830
2,000
Weka dates., old news, which is a fact, CCM wont permit such news. eti kila siku., peleka ujinga mbali.
Kama Serikali haijatangaza ninyi mnapaswa kukaa kimya, au kusema kwamba "Serikali ya Tanzania haijatangaza", hampaswi kuokoteza taarifa mitaani, pale Serikali iliposema sasa hivi kuna wagonjwa wanne, hamkuifanya ni habari muhimu badala yake mlipinga?.

Hii tabia yenu ya kujaribu kuipaka matope kwa kuokoteza habari kutoka vichochoroni bila kuzihakikisha ndiye inayozidisha uhasama na chuki kati ya Kenya na Tanzania
 

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,830
2,000
Which attitude, like I care about Tz, you are a by the way kinda country.
Ninyi ni wapumbavu sana, shughulikeni na ukabila, rushwa, njaa, police brutality, crime, political violence na slums, achaneni na kuipaka matope Tanzania. Kila uchaguzi ukipita lazima mtasema Tanzania haikuichagua Kenya, nani kasema kwamba Tanzania lazima ichague Kenya?, hovyo kabisa ninyi.
 

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,056
2,000
🤣 🤣 🤣
images_(5) (1).jpg
 

Sherlock

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,338
2,000
Ninyi ni wapumbavu sana, shughulikeni na ukabila, rushwa, njaa, police brutality, crime, political violence na slums, achaneni na kuipaka matope Tanzania. Kila uchaguzi ukipita lazima mtasema Tanzania haikuichagua Kenya, nani kasema kwamba Tanzania lazima ichague Kenya?, hovyo kabisa ninyi.
Naona dawa imekuingia ..hehee hii issue ya Tanzania kuchagua Kenya inakuuma sana.
 

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
472
1,000
Eti unaomba Al shabaab wapate taarifa., roho ya kishetani hii unayo joto la jiwe, inasikitisha,

Do you know Tanzania ndio inazaa Al shabaab na terrorism groups ukanda huu?., do you know wale wana finance Al shabab na other Islamic terror groups ni baadhi ya warabu wengi wenye pesa pale Dar? najua hili haulijui., the terror group terrorizing Mozambique wametokea Tanzania, wanafanya zoezi Tanzania na kukula kiapo kisha wanavuka mpaka ulio lindwa na "panga boys TPDF" bila kushikwa, na mnajidai mko na ujasusi wa hali ya juu ovyo kabisa!

Kuombea watu mabaya ni laana mbaya sana! Ndio maana ni ngumu sana Tanzania kuendelea licha ya rasilmali nyingi zile mnazo, wewe hauoni ni laana?., mtakuaje LDC with all you have?, the country with the biggest number of extreme poor people in EAC na SADC, in West Africa ni Nigeria peke yake iko juu yenu!., ni laana imewafunga., mnahitaji tambiko la msalaba wa golgotha ili mfunguliwe, la sivyo hakuna mahali mnaenda, CCM is a devilic conduit to condemn you to poverty. Ushirikina is your middle name
yahani we jamaa unaonekana ni zero brain kabisa kwahiyo unavyodai Tz kua ni LDC na kenya mtakuaje labda, mahana huwezi kukosa adabu kiasi hicho kwa nchi inayokurisha na kukufanya uende chooni, halafu kwani hujui bongo land ndio kuna mabilionaire wa east africa, sasa nyie kuishi kwenye slum ndio maendeleo, umefeli sana next time kua na adabu unapoandika kitu kuhusu Tz, the real giant of east africa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom