Corolla E 111 For Sale

Corolla E 111 For Sale

azee

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
75
Reaction score
30
Corolla E 111 Inauzwa, kwa Anayehitaji Aniinbox.... cor2.jpgcor3.jpgcor3.jpgcor3.jpgcor4.jpg
 
Umechanganya madesa.
Humu twajadili Mahusiano bhana.
Unatukata stimu.
Jukwaa la matangazo hujaliona?
 
Kweli kabisa, kamba haijatoka...mkiendelea na kuhusiana so mbaya ukapata na vijitangazo bandugu...
 
Invisible msaada kuhamishia uzi wa huyu jamaa jukwaa la matangazo...
 
Last edited by a moderator:
Weka maelezo ya kutosha kama mahali gari lilipo, bei unayoanzia, uwezo wa injini, aina ya gearbox, mileage n.k...hii itakurahisishia kupata mteja kirahisi

Kweli kabisa, kamba haijatoka...mkiendelea na kuhusiana so mbaya ukapata na vijitangazo bandugu...
 
Back
Top Bottom