Copy ya mJF photos

Handsome a.k.a nyangema wa kijiji huyo ndani ya pozi!!!
 
Handsome a.k.a nyangema wa kijiji huyo ndani ya pozi!!!

Kangala na ugimbi vinawaharibu mno dental formula! Ndo maana wengi wakitaka kucheka wanaziba midomo
 
mshana jr, umekutwa na nini? ilifumaniwa? au uliweka baruti mgomoni? pole sana, naona umengolewa meno? au ndio mambo yaliyomkuta Dr. Ulimboka?

Hahahahaaa niliingia chaka la waescrow aisee, wakamalizia hasira zao kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ