DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,740
Uliambiwa na nani kuwa ndiyo yenye mashabiki wengi kuliko derby yoyote?Huu ni uwanja wa La Bombonera, unaambiwa mashabiki zaidi ya 49,0000 walijazana hivi kuangalia mazoezi [emoji33][emoji170][emoji169] ya timu yao Boca Juniors.Thats football is its best manifestation
View attachment 944019View attachment 944020View attachment 944021View attachment 944022
My take, hii derby siyo ya kukosa ndugu zangu, ni moja kati ya derby bora duniani na yenye washabiki wengi zaidi kuliko derby yeyote ile!
Mashabiki 450,000.
Duh au ulikuwa na maana ya 45, 000
Uliambiwa na nani kuwa ndiyo yenye mashabiki wengi kuliko derby yoyote?
Niliongea na my friend muajentina anasema maafa ya hiyo mechi ni hatari.. Kufa lazima watu wafe yani kunafanatics hatare
Ikijibiwa nam unijuzeChannel gani hii game?
Ikijibiwa nam unijuze
Nawaza kwa sauti kama hii tim ya Boca Juniors ingekuwa inacheza moja kati ya zile ligi tano kubwa ulaya sijui ingekuwaje.....
Ikijibiwa nam unijuze
Labda waje Africa hapo ndio ushindani wa mpira utakuwepo sio ulayaKi mpira ulaya wako mbali sana . Boca akiingia UEFA Kwa mfano atapigwa sana ulaya achana nayo, kule hakuna wachezaji wa mpira bali wafanyakazi, mtu kama Bale ni mfanyakazi wa mpira . Ukitaka kuamini angalia Barca walipocheza na Santos kipindi Neymar yuko santos na santos ilikuwa juu sana lakini mpira waliutafuta Kwa tochi , kiufupi mechi ilikuwa nyepesi .
Boca junior timu ya Diego maradona.