Coeng
Member
- Oct 13, 2014
- 28
- 49
Amerika ya kusini kumekucha.Mashindano ya mataifa ya amerika ya kusini yameanza.Jionee mwenyewe yote yaliyojiri katika mashindano hayo.
Utaweza kuwaona nyota wote wanaowika barani ulaya kutoka mataifa ya amerika ya kusini akiwemo Lionel Messi,Neymar JR,Luis Suarez,James Rodriguez,Alex Sanchez,Edison Cavani ,Kun Aguero,chicharito na wengine kibao