Copa america: Argentina out

Haitakuwa hivyo! Kwani Argentina inacheza attacking football? Kwangu mimi nadhani hapana. Huwezi ukacheza na defencing midfielders 3 halafu ukataka kupata magoli, Argentina imefail hata kabla ya copa america haijaanza sababu ya kutorekebisha makosa ya WC, so warudi kujipanga upya, wakianzia pale walipoishia WC 06 Germany.
Hapo kwenye red Barcelona/Spain hazichezi attacking football rather keep ball football
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom