Nafikiri kaka alicheza 2007 marcelo ndio sijui...You can't believe Kaka na Marcelo hawakuwahi kucheza Copa America
Hamtaamini kitakachowapataArgentina kwa France🏆
Argentina kwa Italy 🏆
Argentina kwa Brazil 🏆
Next! Tunabeba tena
Kutoka kwa nani? Pale labda wa kutusumbua ni muuruguay, japo nae atakipataHamtaamini kitakachowapata
USA wanaweza aga haya mashindano mapema sana.
Brazil wanaanza kuonesha umwamba wao
Mruguay hatawasumbua, atawapigaSiku ikicheza Argentina
Kutoka kwa nani? Pale labda wa kutusumbua ni muuruguay, japo nae atakipata
Mruguay hatawasumbua, atawapiga
Unaangalia channel ganiParaguay kakipata cha mtema kuni leo na Vinicius kawaziba midomo wale critics wake sio kwa hii performance
FT
Paraguay 1-4 Brazil
Mimi naangaliziaga online kupitia simu yangu hiiUnaangalia channel gani
Application ipi mkuu?Mimi naangaliziaga online kupitia simu yangu hii
Game zinapigwa mida ya wanga unategemea nini?Uzi umepoa sana wazee was uefa euro 2024 German gonga like hapa
Halafu hazionyeshwi, mashindano ya mwaka huu hayajapewa hadhi yake.Game zinapigwa mida ya wanga unategemea nini?
Zipo nyingi tu kuna livenet tv, yaccin tv, football live na pia kuna hii hapa link 808FUBO - Stream Live FootballApplication ipi mkuu?
Nafikiri kaka alicheza 2007 marcelo ndio sijui...
Hata hivyo hii michuano miaka ya Nyuma Brazil walikuwa wanaitumia kama sehemu ya kupatia uzoefu tu kwa wachezaji wao hasa wale waliokuwa hawapati nafasi ya kucheza world cup...
Na ndio maana ulikuwa unaona mtu kama Luis Fabiano kwa mara ya kwanza alicheza world cup 2010 baada ya Ronaldo kustaafu, lakini kwenye michuano ya Copa America alicheza tangu 2004 na mwingine Douglas Maicon RB moja mahiri sana, na yeye alichelewa kupata nafasi ya kucheza World Cup sababu ya uwepo wa CUF ila alianza kuichezea timu ya taifa ya Brazil tangu 2003 na huku kwenye Copa America alikuwa ndio beki wao wa kulia kipindi kile wanachukua mara mbili mfululizo.