M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Jun 20, 2024 #1 Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14. Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916 Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024. argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja Brazil wao wakibeba mara 9 tu. Mechi zitapigwa katika viwanja 14 miji tofauti ndani ya USA. Mechi ya ufunguzi ikianza kati ya Argentina dhidi ya Canada saa 9 usiku/ ukwiri😀 Muda wa mechi nyingi utakuwa ni saa 7 usiku na saa 10 usiku/alfajiri/ukwiri. Yaan ni mechi ya mida ya wanga ila tutapeana yatakayojiri.
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14. Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916 Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024. argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja Brazil wao wakibeba mara 9 tu. Mechi zitapigwa katika viwanja 14 miji tofauti ndani ya USA. Mechi ya ufunguzi ikianza kati ya Argentina dhidi ya Canada saa 9 usiku/ ukwiri😀 Muda wa mechi nyingi utakuwa ni saa 7 usiku na saa 10 usiku/alfajiri/ukwiri. Yaan ni mechi ya mida ya wanga ila tutapeana yatakayojiri.
Mshenyentaji JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,047 Reaction score 2,932 Jun 21, 2024 #2 Sawa mkuu
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Jun 21, 2024 #3 Argentina wins kwa odd ya 1.3 weka million upate laki tatu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jun 21, 2024 #4 Hawa jamaa wa dstv wanayaonesha kweli haya mashindano?
Mshenyentaji JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,047 Reaction score 2,932 Jun 21, 2024 #5 Chaliifrancisco said: Argentina wins kwa odd ya 1.3 weka million upate laki tatu Click to expand... Odds ya waz
Chaliifrancisco said: Argentina wins kwa odd ya 1.3 weka million upate laki tatu Click to expand... Odds ya waz
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 8,592 Reaction score 12,336 Jun 21, 2024 #6 mzabzab said: Hawa jamaa wa dstv wanayaonesha kweli haya mashindano? Click to expand... Niwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano!
mzabzab said: Hawa jamaa wa dstv wanayaonesha kweli haya mashindano? Click to expand... Niwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano!
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 8,592 Reaction score 12,336 Jun 21, 2024 #7 Mkuu yanaonyeshwa na tv zipi?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jun 21, 2024 #8 sysafiri said: Niwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano! Click to expand... Hawa jamaa mafala sana sasa mie nalipa 110k alafu simuoni messi kweli
sysafiri said: Niwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano! Click to expand... Hawa jamaa mafala sana sasa mie nalipa 110k alafu simuoni messi kweli
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,099 Reaction score 47,057 Jun 21, 2024 #9 Walioko doria mikono juu?
kingkimwe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 1,959 Reaction score 2,618 Jun 21, 2024 #10 Canada kumbe ni America nlikua najua ni ulaya 😅😅
Mshenyentaji JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,047 Reaction score 2,932 Jun 21, 2024 #11 kingkimwe said: Canada kumbe ni America nlikua najua ni ulaya 😅😅 Click to expand... Àahàaaa
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Jun 21, 2024 #12 Chumaaaa 2-0 Lautaro Martinez
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Jun 21, 2024 #13 Ft Argentina 2-0 Canada
Mercenary Army JF-Expert Member Joined Jun 2, 2017 Posts 292 Reaction score 695 Jun 21, 2024 #14 1st goal---Julian Alvarez 2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist)
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Jun 21, 2024 Thread starter #15 Argentina wanalitaka tena kumstaafisha Messi kwa furaha.
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,362 Reaction score 2,187 Jun 21, 2024 #16 Wazee wa kubet soccer mpo? Au ndio mmeamia kwenye casino na kindege
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,185 Reaction score 6,640 Jun 21, 2024 #17 Uruguay tunabeba
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,004 Reaction score 7,543 Jun 21, 2024 #18 The oldest football tournament in the world. Let's go La Albiceleste, the 16th is here!
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jun 21, 2024 #19 kingkimwe said: Canada kumbe ni America nlikua najua ni ulaya 😅😅 Click to expand... Kha🤣🤣🤣🤣
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jun 21, 2024 #20 Mercenary Army said: 1st goal---Julian Alvarez 2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist) Click to expand... Kingamuzi gani wanaonyesha haya mashindano
Mercenary Army said: 1st goal---Julian Alvarez 2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist) Click to expand... Kingamuzi gani wanaonyesha haya mashindano