Ukiona dhahabu dhahabu basi jua ni WAARABU. Hiyo ni ndege ya EMIRATES, na itakuwa ni Airbus A380, PRIVATE SUIT - FIRST CLASS. Kwa africa, waweza kuipanda kutoka Dubai ukashukia South Africa. Au ukaipanda kwenda London kutoka Dubai. Chance ni kubwa sana ingawa bei yake itakuwa ni heri ukalale kwenye hotel lao la nyota saba, Dubai.
Kuna Wajinga wengine nao wanatangaza PEPO wakati unasafiri. Hawa walianza mapema sana kwani wao walikabidhiwa mapema sana hii A-380. Mambo ya Singapore Airlines -First class cabin.