Hiyo train ilikuwa haitembei,kama ingekuwa inatembea mkoja usingekuwa umenyooka chini.Mkuu Ndallo ... so ... what's so cool about this picture?!
... mtoto kukaa uchi au kuwekwa kwenye hatari ya maisha yake ... kumbuka kuwa treni inatembea ... je akiteleza na kuanguka?!
Kwa hiyo wazazi ambao hawapo responsible kulinda maisha ya watoto wao ndio cool?!! ...
:angry:
.
Hiyo train ilikuwa haitembei,kama ingekuwa inatembea mkoja usingekuwa umenyooka chini.
bupa kasoro manyoya.mtoto wa kiume ana bupa huyu