Contraceptives zinapozingua

af we SKY daily ni za mashosti tu, tupe basi hata kisa chako na wew
 
Nimecheka sana mkuu, mnaweza kushare glass ya maji kumezea. Any way back to the vasectomy issue, kaka zetu wako very self, hawata kubali kufanyiwa operation hata kidogo. Ninadhani kizazi kwao kinawafanya wafeel wako complete.
yaani a dude, ajipeleke! anyway never under estimate a woman's persuasion. i heard of this family, gr8 wife, both have glowing careers, pesa sio tatizo kabisa! wana heshima zao mjini hapa. Wife akaona mbele, convinced mume wake akafanye vasectomy, her argument, si tumeshamaliza kuzaa? tatizo liko wapi if you get the snip? dude had no choice than to get it, anakataaje sasa na anampenda! too bad side chick never had a chance kujitegesha....kama wife alijua vile! maybe she did, so side chick ajiweke tu but hatawahi kuzaa nae never!
 
Nilizosikiwa wamefanya zinakuwa reversed ukitaka kuendelea kuzaa.
 
Uzuri wake haiwezi kukuletea magonjwa, haicheat, unapoihitaji huna haja ya kuibembeleza.
Tatizo binadamu sio efficient namna hiyo..
Kwa hiyo baada ya muda dildo yako utaiona ni bora kuliko mwanaume yeyote...
1+1= [emoji85]
 

Mambo ya Weru Weru on the pick of Judy Boucher. Kupimwa mimba ilihusu.
 
Sky nakukubali ila kwa story za shost zako huwa zinanitia wasiwasi kama za kweli au la, anyway ni vzr wapenz ama wanandoa kukubaliana muda muafaka wa kupata mtoto sio ndoa tu na mtoto tayar maisha yanaweza kuwawia vigumu kama hamjajipanga so it is better kutumia contraceptives ila calendar au condom ni better kuliko other methods kutokana na side effects zake
 
Angalia yaliyomo mkuu, pia nikisutwa nitawajumuisha . Any way, sijaweka kijiti kwa uhusiano na boyfriend kwanza, mdada alirisk sana.
 
Angalia yaliyomo mkuu, pia nikisutwa nitawajumuisha . Any way, sijaweka kijiti kwa uhusiano na boyfriend kwanza, mdada alirisk sana.
Hamna sababu ya kuweka kijiti ukiwa na boyfriend cause hata kuonana ama kusex frequency yake sio sawa na wanandoa so mnawezafuata calendar or mkatumia condom kama una wasiwasi wa tareh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…