kimbweta cha udsm
Member
- Nov 9, 2014
- 35
- 2
kwani mkuu walisema wanachakata?? kwani nami ni muathira japo in otherway round..
UDSM wameshabandika majina ila no machache sana tuliomba continuing kama 6000 ila wametoa barch ya majina 45 tuuu.. hii ndiyo TANZANIA
critical thinker.. safi kijana kwa hoja yako all is wellRais wetu amebakiza kazi mmoja ya kufuta hii bord ya mikopo kwa elimu ya juu..then atangaze tenda kwa mashirika mbalimbali ni hata kama ni ndani ya miezi 2 ninaamini yatajitokeza zaidi ya mashirika 100 yatayo hitaji tenda hiyo na ninaamini HAKUNA HATA MTU 1 ATAKAYE KOSA MKOPO TANZANIA HII. naomba kuwasilisha
Nasikitika sana msomi wa chuo kikuu wa Tanzania kujiita "Continuous student".
wale wa mlimani j5 watatoa bach nyingine.. ya continuing and freshers students tuwe wapole sanaKumbe na wewe umeona, tena eti ni mwaka wa pili!!!
Nasikitika sana msomi wa chuo kikuu wa Tanzania kujiita "Continuous student".
huyu loan officer wa UD ana majibu ya sifa tu.....dah inauma sana...!UDSM wameshabandika majina ila no machache sana tuliomba continuing kama 6000 ila wametoa barch ya majina 45 tuuu.. hii ndiyo TANZANIA