Unawaambia Watu wa Dar tu au?
Help Desk kupitia namba ipi?hizi +255-22-2772432/3?nimejaribu mara kadhaa bila mafaniko LABDA KAMA KUNA NAMBA ZAO NYINGINE.
ngoja tucheck zingine
Phone +255-22-2772432/3ngoja tucheck zingine
kwa wanaoendelea tunaomba heslb mtoe taarifa kwa applicants hususan kwa wanao endelea na sio kukaa kimya mnachakata nn? mbk muda huu watu wameripoti vyuon na masomo yanaendelea hebu kuweni fair jaman mpo kwa ajili ya Huduma au kwa maslahi zenu nawasilisha# wanyonge wakichoka wanageuka waasi
wanazingua hata huku bugando mchezo ni huo huo loan officer anatuletea siasa leo tumeenda ofisi za bodi lake zone majibu ni mepesi tu ndiyo tunapewa kwamba WANALIFANYIA KAZI HILO SWALA siasa tupu hii nchi na mwaka jana tumepeana siasa kama hizi tukaishia kutambaa na madeni aaaaaaaaagh hii nchi cjui ni lini tutaishi systematic
UDSM wameshabandika majina ila no machache sana tuliomba continuing kama 6000 ila wametoa barch ya majina 45 tuuu.. hii ndiyo TANZANIAkwa wanaoendelea tunaomba heslb mtoe taarifa kwa applicants hususan kwa wanao endelea na sio kukaa kimya mnachakata nn? mbk muda huu watu wameripoti vyuon na masomo yanaendelea hebu kuweni fair jaman mpo kwa ajili ya Huduma au kwa maslahi zenu nawasilisha# wanyonge wakichoka wanageuka waasi
UDSM wameshabandika majina ila no machache sana tuliomba continuing kama 6000 ila wametoa barch ya majina 45 tuuu.. hii ndiyo TANZANIAMimi ni continous student ambaye mpaka sasa sijapata mkopo.Baada ya suala letu kuonekana kwa kiasi kikubwa linakwamishwa na ma LOAN OFFICERS wa vyuo nimefuatilia na kujiridhisha kuwa taarifa zangu muhimu zimewasilishwa huko BODI hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa hata kama hampendi naomba mniweke wazi pamoja na wenzangu wenye tatizo linalofanana NINI KINACHOKWAMISHA SISI KUPATIWA MKOPO?Maana ktk orodha ya mwanzo kwa waliokosea kujaza fomu sikuwemo na hata orodha ya juzi kuhusu vyeti vya kuzaliwa simo.
Maswali kwenu:
1.Kama nimetimiza wajibu wangu(kuapply na kufaulu UE) na serikali imesisitiza kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa,kwa nini mimi/sisi tu?
2.Inashindikana nini mapungufu yanapojitokeza BODI ikatumia media pamoja na website yenu kutufikia walengwa ndani ya wakati?maana sidhani kama uwezo hamna.
3.Tovuti yenu inaonyesha kuna LOT 5(NEW) lakini mbona ukiweka details results zinaonyesha LOTS ni 1 mpaka 4 tu?
4.HELP DESK lenu lina matatizo gani?nilidhani ndilo lingetumika angalau kupunguza makali ya DEADLINES pamoja na MSULULU wa wanafunzi ofisini kwenu.
.........Kiufupi ninaomba muitendee haki dhamana mliyopewa na msiwe kikwazo kwa upatikanaji wa elimu ktk mazingira rafiki.NIMERIPOTI CHUONI LAKINI BADO SIJASAJILIWA NASUBIRI MKOPO!