Continous students ambao walikosa mikopo

sirmtagwa

Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
66
Reaction score
0
TAARIFA MUHIMU KWA CONTINOUS STUDENTS.
Kwa wale wote continous students ambao mliapply mkopo wa elimu ya. Juu mara ya pili mnaombwa kwenda kuhakikisha kwamba taarifa zako kama zimefika board ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu maloan officer wengi wa vyuon huwa hawapeleki taarifa zenu ili muweze kupata mkopo.Hadi sasa hazina ipo kubwa ili kuwawezesha wanafunzi wa elimu ya juu kupata mkopo. Hadi sasa wanafunzi wa mwaka wa kwanza imefikia kiwango kikubwa kupata mkopo yaan wengi wamepata..Sasa mda huu umebaki wa continous students waliokosa miaka ya nyuma nao kunufaika na mikopo sasa basi nenda heslb ukahakiki kama loan officers walipeleka taarifa zako au hapana.. hii muhimu sana kwa sababu sasa hiv serikali ya jpm imeweka kipaumbele Elimu na inataka wanafunzi wapate mikopo bila kutoa hata senti 5 hivyo basi unapaswa kwenda heslb kuhakiki kuwa Loan officer wako wa chuo husika kama kapeleka Taarifa zako au hapana na kama hazijapelekwa una haki ya kwenda kushtaki heslb kwa kitoa jina la loan officer wako na chuo husika kwa sababu imeonekana hawa watu kupokea rushwa ili wanafunzi wengine wenye haki za msingi kukosa mikopo.. ikigundulika kama kweli bodi itamstaki na kufutwa kazi na kulipa faini...
 
Help Desk kupitia namba ipi?hizi +255-22-2772432/3?nimejaribu mara kadhaa bila mafaniko LABDA KAMA KUNA NAMBA ZAO NYINGINE.
 
Safi kabsa, maana kunawengine kila siku tunajisomba kwa ma loan officer wa chuo wanatuangalia tu kama vinyago, Magufuli be blessed more and more
Ila waliozoea kumeza hadi vyawanyonge lazima waisome namba
 
Mimi ni continous student ambaye mpaka sasa sijapata mkopo.Baada ya suala letu kuonekana kwa kiasi kikubwa linakwamishwa na ma LOAN OFFICERS wa vyuo nimefuatilia na kujiridhisha kuwa taarifa zangu muhimu zimewasilishwa huko BODI hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa hata kama hampendi naomba mniweke wazi pamoja na wenzangu wenye tatizo linalofanana NINI KINACHOKWAMISHA SISI KUPATIWA MKOPO?Maana ktk orodha ya mwanzo kwa waliokosea kujaza fomu sikuwemo na hata orodha ya juzi kuhusu vyeti vya kuzaliwa simo.
Maswali kwenu:

1.Kama nimetimiza wajibu wangu(kuapply na kufaulu UE) na serikali imesisitiza kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa,kwa nini mimi/sisi tu?
2.Inashindikana nini mapungufu yanapojitokeza BODI ikatumia media pamoja na website yenu kutufikia walengwa ndani ya wakati?maana sidhani kama uwezo hamna.
3.Tovuti yenu inaonyesha kuna LOT 5(NEW) lakini mbona ukiweka details results zinaonyesha LOTS ni 1 mpaka 4 tu?
4.HELP DESK lenu lina matatizo gani?nilidhani ndilo lingetumika angalau kupunguza makali ya DEADLINES pamoja na MSULULU wa wanafunzi ofisini kwenu.

.........Kiufupi ninaomba muitendee haki dhamana mliyopewa na msiwe kikwazo kwa upatikanaji wa elimu ktk mazingira rafiki.NIMERIPOTI CHUONI LAKINI BADO SIJASAJILIWA NASUBIRI MKOPO!
 
heslb kiukweli hata mimi cjawaelewa labda ww uliefika mbk loan bodi unaweza tusaidia chochote maana hawatuzungumzii kabisa km hatukuomba vile inaumiza kuona umeripoti chuo afu fees huna na usajili unaendelea na ma loan officer ukiuliza hawana majibu cjui wamewekwa vyuoni wamu hudumie nan? inasikitisha sana km utovu nidhamu na kutufanya cc wapumbavu # wanyonge wakichoka wanageuka waaasi
 
kwa wanaoendelea tunaomba heslb mtoe taarifa kwa applicants hususan kwa wanao endelea na sio kukaa kimya mnachakata nn? mbk muda huu watu wameripoti vyuon na masomo yanaendelea hebu kuweni fair jaman mpo kwa ajili ya Huduma au kwa maslahi zenu nawasilisha# wanyonge wakichoka wanageuka waasi
 
Kinachosikitisha zaidi Kila chuo Kina Loan Officer na IT staffs wanaolipwa mishahara.Kwa nini bodi isidownload taarifa za continous students kutoka websites za vyuo husika?
 
kwa wanaoendelea tunaomba heslb mtoe taarifa kwa applicants hususan kwa wanao endelea na sio kukaa kimya mnachakata nn? mbk muda huu watu wameripoti vyuon na masomo yanaendelea hebu kuweni fair jaman mpo kwa ajili ya Huduma au kwa maslahi zenu nawasilisha# wanyonge wakichoka wanageuka waasi

kwani mkuu walisema wanachakata?? kwani nami ni muathira japo in otherway round..
 
wanazingua hata huku bugando mchezo ni huo huo loan officer anatuletea siasa leo tumeenda ofisi za bodi lake zone majibu ni mepesi tu ndiyo tunapewa kwamba WANALIFANYIA KAZI HILO SWALA siasa tupu hii nchi na mwaka jana tumepeana siasa kama hizi tukaishia kutambaa na madeni aaaaaaaaagh hii nchi cjui ni lini tutaishi systematic
 
>>Wanalishughulikia?Unaweza ruhusiwa kufanya paper kabla hujasajiliwa?kama umechukua contacts zao hapo Lake Zone share please huenda na wengine tukapata mwanga zaidi.
 
kwa wanaoendelea tunaomba heslb mtoe taarifa kwa applicants hususan kwa wanao endelea na sio kukaa kimya mnachakata nn? mbk muda huu watu wameripoti vyuon na masomo yanaendelea hebu kuweni fair jaman mpo kwa ajili ya Huduma au kwa maslahi zenu nawasilisha# wanyonge wakichoka wanageuka waasi
UDSM wameshabandika majina ila no machache sana tuliomba continuing kama 6000 ila wametoa barch ya majina 45 tuuu.. hii ndiyo TANZANIA
 
Back
Top Bottom