Anapenda mteremko sanahuyu kiumbeDuh mkuu uliwezaje kununua hiki kidude?
Mara mia hata ya Star tmes.
nahisi TCRA wawapige off tuu mkuuKwangu halipo,natumia cable.
no mkuu,nlihisi huduma zao makini..kumbe giza tuuAnapenda mteremko sanahuyu kiumbe
Anapenda mteremko sanahuyu kiumbe
kabisa mkuuSwala sio mteremko hata Star time ni bei ndogo tu.
Suala ni ubora wa kile unachonunua
hahahhahha..sawa sawa mkuuWaachie wazalendo wa chato
me nahisi wawafungie tuuHicho kidude hata madukani hayauziki