Continental decoder hd wana local channel za bure?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Wandugu,

Nauliza kama hawa jamaa wana local channel za bure bila kulipia
Je zinabaki ngapi kifurushi kikiisha?

Moshi kingamuzi chao cha antenna kinakamata vizuri?

Ni hayo tu
 
Sahara media wamefungiwa na TRA sijajua Kama ving'amuzi vyao kama bado vipo hewani
 
Tafta azam achana na
Sahara media hao wameshalimwa life ban na
Tra

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Achana na hicho king'amuzi cha kiCCM, hao ni wakwepaji kodi wakubwa na wameshafilika kwa sasa.

Kwa sasa hakuna King'amuzi chenye local channel za bure bure, lazima ulipie(uibiwe!). Startimes wao television ya bure ni TBC1 na huko utaonyeshwa hotuba za Bashite na Sizonje pamoja na ngonjera za CCM.

Nenda na Azam Tv.
Ndio king'amuzi standard kwa sasa hapa Tanzania.
 
mimi ninakitumia cjawahi kukilipia toka nimekinunua mwaka wa 2 sasa nacheki free
 
bure ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…