Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,524
Hii nchi yani anaweza msanii kukosea ndani ya siku hiyo mpaka wiki inakwenda ni mwendo wa media uchwara kudili na mada hiyo.
wajifunze swahili Max kuna jamaa alikufa mara 6 sasa nasikia huyu jamaa anaweza kwenda kimataifa wanasayansi na wenye nguvu zao wakamfata.Sasa tujiulize swahili max na online uchwara wameona.