Acha uoga. We tafuta lolote tu hata 3000cc halafu komaa nalo. Mambo ya kukaa kwenye viberiti na vibebiwalker yamepitwa na wakati. Utumia wa mafuta ni discipline yako tu. hata kama una cha 1000cc halafu unakata mitaa kama dereva wa daladala utaenda ngoma draw na jamaa wa 2000cc lakini anatoka akiwa na sababu za msingi. "Im watching you ha ha ha ha"

suala la matumizi ya mafuta linasababishwa na mambo yafuatayo.
- mzigo ambao gari umebeba.
- upepo katika tairi, upepo mdogo tairi inapelekea kufanya resistance na barabara hence gari inakunywa mafuta.
- upepo kupitia windows: unapotembea ktk speed fulani madirisha wazi upepo unafanya resistance na kuifanya gari kujilazimisha kusonga mbele. mafuta hayo mzee.
- the use of ac.
- high speed driving: mwendo zaidi ya speed 80/h si tu unahatarisha usalama wako bali unaongeza matumizi ya mafuta.
- vijibwa. unapoondoa gari kwa kasi inapelekea kulazimisha msukumo wa mafuta katika njia zake na kutanua baadhi ya viungo. baada ya muda gari inaona huo ndio utaratibu wake.