Consultation kwa wanaoandika thesis/dissertation za degree Bachelor na Master (Arts) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Consultation kwa wanaoandika thesis/dissertation za degree Bachelor na Master (Arts)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Dingswayo, Jul 19, 2012.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ninatoa consultation kwa wale wanaoandika thesis/dissertation kuanzia Bachelor na Master degrees katika masomo ya arts. Consultation hizo zinafanyika kwa internet na simu, hivyo huduma hii hupatikana kwa mtu yeyote yule popote pale alipo. Lugha inayotumika ni Kiingereza. Kwa wale wenye nia wani PM kwa maelezo zaidi na kuhusu wasifa wangu.

  Nawatakia wote siku njema.
   
 2. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimekutumia PM. Check inbox yako.
   
Loading...