What a stupid question, mi naomba mods wawe wana wa burn watu ambao mpaka leo hawajui kutumia social media kutokufanya hivyo ndio kunakotupotezea wachangiaji makini na kufanya hii media kuwa boring. Sasa utaulizaje swali kama hili? kama hata maana ya simple technical word kama hii huijui utashiriki vipi mjadala, shut up waache wanaojua wazungumze wewe na mimi tujifunze toka kwao si lazima kila unachokiona uchangie, ndio maana wengine hutuoni kwenye kila mjadala ni kwa kuwa we are not an encyclopedia, tunanyamaza, tunafuatilia mjadala mpaka tuelewe ndio tuchangie, tukinyamaza tunasoma ili tuelewe.