Anatori,
What a coincidence.
Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998.
Kitabu hiki kina sehemu tatu na hii sehemu ya tatu ambayo ndiyo ya mwisho "heading" yake ni: "Conspiracy Against Islam.'
Mwisho ninapohitimisha kitabu ninapowaeleza na kuwataja wahusika wa njama kuna sentensi nimeandika maneno haya: "the unseen hand."