Mi ndio maana siko tayari kukurupuka, bora kuwa na miaka 5 na mtu ambae atanitosheleza na kuniridhisha kwa kila namna kuliko miaka 15 na mtu ambae kila jioni natamani nikalale kwa jirani na asubuhi tukiagana napumua kama nimetua mzigo.
Sijakusoma kabisa hapo, how is that possible? May be on theory......right person, wrong time but right place?? Mmekutana chumbani subuhi wakati unatoka tegeta kuwahi daladala uingie job kipindi cha mafuriko?? Amekujaje hapo sasa??