Connects dots hapa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,162
Reaction score
162,593
Miongoni mwa wanasiasa ambao member mwenzetu hapa JF(mwanahabari) amekuwa akiwaunga mkono na kuwatetea ni bwana EL na ZZK.

ZZK alikuwa na misukosuko ndani ya chama na baada ya kuondoks ghafla katua TAC na kupewa uongozi wa juu wa chama.

EL nae kuteuliwa kugombea uraisi kupitia chama chake maswali ni mengi kuliko majibu.

ZZK kukubaliana na maamuzi ya pilato bila hata kuangaika kukata rufaa.

Wito wa ZZK kwa EL kujiunga TAC(inawezekana lengo ni kutishia nyau).

EL kuahidi kumuachia cheo cha kiongozi mkuu wa chama atakaeteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake

TAC ni chama kichanga lakini kinaonekana kuwa na hela ya kutosha kumudu kufanya mikutano maeneo mbali mbali nchini na hata kugharamia air-time kwenye media.

NB:Refer yale ya makada wengine wa chama cha magamba na iliyokuwa JCC(inagalie TAC ya leo kwa jicho la JCC ya wakati ule-zingatia, wanasiasa ni wale wale na tabia zao ni zile zile)

Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika.

Tuendelee kudadavua!
 
muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.
 
Ongezea na hii:
EL akibaki CCM ni shida tupu NA akienda ACT ni shida zaidi. Sawa na uchimumumunye,uchimeje wala uchiteme. Nani anakamatwa red handed katika hili akiwa kashusha surubale?
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Nadhani amefanya kwa makusudi ili akwepe accountability & responsibility kwa kutotaja moja kwa moja ACT badala yake iwe TAC
 
Mkuu kila siku unakuja na ngonjera mpya kuhusu ACT Makamanda wenzako walisema ZZK Nje ya Chadema ni kama mamba nje ya maji sasa hadithi tena zimebadilika
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Ameweka angalizo hapo mwishoni mkuu.
 
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.

Huyo el ananuka na ni la kuvunda
 
Sasa ni ACT vs CCM!
 
Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe

Last edited by a moderator:
Sasa ni ACT vs CCM!
salary soma ujumbe murua huo hapo kutoka kwa mtamile. bila shaka unakumbushwa jinsi makamanda walivyokushughuikia baada ya kuja na ujumbe huo. hiyo ndo chadema.

Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe
 
Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...

Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe
Read between lines.

Tena Lowassa akihamia ATC mchuano utakuwa mkali na mgombea mmoja kupata zaidi ya asilimia 50 katika duru ya kwanza itakuwa ngumu sana.

Tafakari acha kukurupuka!
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.

Kafanya kusudi. Si umeona alivyomalizia, anaogopa muswada wa cyber crime ukiwa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…