Rascallone
Member
- Dec 20, 2017
- 61
- 49
Mwenye connection ya jinsi ya kupata kazi za survey huko migodini, tushirikiane neema.
Ngoja nikimbilie hukoTuma maombi Naona wametangaza ,cheki mabumbe. Pia kwa mzungu hakuna connection just your genuinety yako mkuu itakubeba
Kwamba kwa mzungu hakuna nini....🤔Tuma maombi Naona wametangaza ,cheki mabumbe. Pia kwa mzungu hakuna connection just your genuinety yako mkuu itakubeba