CONNECTIFY waingiza Mzigo Mpya Sokoni.

CONNECTIFY waingiza Mzigo Mpya Sokoni.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Wale wapenzi wa Connectify Dispatch na Hotspot PRO, Watakuwa na Sababu nyingine ya Kufarahi tena Baada ya Kuzinduliwa Software mpya inayoaminika kuwa itakuwa kivutio cha wengi Duniani Kote.

Kilichonifurahisha katika hii Software inayoenda kwa jina la "Switchboard" ina uwezo wa ku-creat Saver Mwenyewe na Kisha kuweza kuangalia "regional Locked Contents" Namainisha kwamba kuna baadhi Video Labriries ambazo hazionyeshi kazi zake Nje ya sehem Fulani. Mfano huwezi kuangalia Netflix/Vudu/Pandora/Crackle and HULU ukiwa nje ya America.

Lakini saivi ukisha creat Saver yako Via VPN, U can watch your locked contents everywhere U are.
Pia uwezo wa Kustream Video umekuwa Amplifiered to the Maximum.

Kwa kuanzia kwa Sasa hii Software inapatika Online kwa $90. Ila najua kadri siku zitakavyoenda Bei itapoa.

TafadhAli fungua www.connectify.me then Click Switchboard. Ukipata knowledge Mpya njoo utuhabarishe pia.

Thanks.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu, hii kitu siwezi kuipata kwenye torrent?
 
Ndo version 5 ninayo isikia ni nn?
 
dola 90 kubwa sana kwa chini ya dola 10 unatengenezewa ip yako mwenyewe ya nchi unayotaka na kuangalia vitu kama hivyo bureee. na kama unataka shared ip unaweza kuzipata hata bure
 
dola 90 for lifetime license, sijui hadi ufe wewe au hiyo software.....??
 
Back
Top Bottom