Connectify Dispatch

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Wakuu kwema!???

Naombeni Elimu jinsi ya Kuitumia hii Software(Connectify Dispatch). Inasemekana ukiwa nayo unaweza kufanya Maujanja na kupata Internet Speed ya hadi 10Mbps.

Je!? Kuipata ni lazima Uinunue Online!? Hamna mwenye Cracked Keys!?
Mwenye nazo naomba ani-PM tafadhali. Tutapooozana. Thanks Wana JF.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu unainstall offline how wameifix? Jana tu nimeinstall kwa mtu inafanya kazi vizuri tu useme labda ndo hivo ni version ya zamani.

unapoanza kuitumia si lazima ipate net, ndio wanakushika, kama vile idm unapoipa serial offline lakini baade si wanaijua utapoingia online??. ijapokuwa nili-crack hadi kwenye hosts bado ilileta nag screen. ndio nikatafuta crack mpya
 
hii ni connectify tu au na dispatch pia?? maana kama ni connectify tu basi hutoweza kupata speed kubwa kwa kuunganisha internet bali utaweza kushare internet tu
version 4 wamedrop support for win xp.

sijaitest ila possible ni connectify tu kwani na dispatch nayo inazingua kwa xp?
 
hii ni connectify tu au na dispatch pia?? maana kama ni connectify tu basi hutoweza kupata speed kubwa kwa kuunganisha internet bali utaweza kushare internet tu
version 4 wamedrop support for win xp.

kwaiyo Paje older versions zinakubali win xp? na kama uliblock host na wakajua, unawakwepaje
 
Last edited by a moderator:
kwaiyo Paje older versions zinakubali win xp? na kama uliblock host na wakajua, unawakwepaje
sina hakika lakini nadhani older version hazina dispatch, zina connectify tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…