Sawa mkuu. Bado ninayo mengi ya kupost; nakukaribisha kuendelea kuchallenge. Naamini mwishowe tutajua ukweliSasa hapo hujaelewa nini?
hizo taa zipo tu sio lazima uchanje ndio ziwake
kwani ile ya coin kunasa palipochanjwa imeishia wapi?
Mimi siamini hata katika dini yoyote, dini zote ni mind control tool na zimeletwa na hao Illuminatti.Hii lazima uwe na uelewa kutofautisha vitu.
Yesu Kristo mesiah atakuja hili ni kweli na HAKIKA.
Lkn New age wana ujio wa Yesu fake akija, anajulikana kwao kama.
Good teacher
Lord Metraya
Imma Mahdi
Na mambo ya internet huyu anahusiana nayo. Ataaminiwa na ulimwengu wa Kristo kama Mesiya, na kwa Waisilam kama Imam Mahdi,. New Age religion ni Satanic, inahusiana na dini za Mashariki. Manabii wa dini hii kama akina Anne Beasante, Alyce Belay ndio wame merge imani yao ya mashariki ifananayo na hinduism yenye imani ya incarnation ya mtu au universal godhead.
Dini ya kweli na Wakristo wa Kweli watatofautisha Uongo huu.
Technolojia ni njia mojawapo ya kuwafanyia watu hypnosis na kuwa bypass ubongo wao.
Kwahiyo wewe unaamini nini au unaamini vp?Mimi siamini hata katika dini yoyote, dini zote ni mind control tool na zimeletwa na hao Illuminatti.
Mimi naona binadamu hapaswi kuwa na dini, dini yake ni yeye mwenyewe kama kukiabudu basi jiabudu wewe.
We are sovereign rulers of our selves..
Hakuna haja ya kuabudu kitu usichokijua, wala haisikilizi, binadamu hajawahi kumuona Mungu sasa unawezaje kuthibitisha kuwa hii miungu ipo., inawezekana sisi ndo miungu ila hatujitambui hivyo kupoteza na kusahau asili yetu na uwezo.
Mungu huyo wa wayahudi aitwaye El au Elohim ni muuaji, pia ni mwongo.
Aliwadanganya wayahudi naenda kuwapa nchi ya ahadi Kanaan walichombulia ni vifo na vita hadi leo hakuna cha Kanaani wala nini, wakristo wameambiwa wasubiri kanaani ya mbinguni kwa nini kama sio uwongo.
Siabudu Mungu mimi, mi ndo kila kitu
Huwezi kuwa illuminati bila kuamini uwepo wa Mungu. Wanamwamini na wanafanya KILA JUHUDI ili kumpinga na kuwaaminisha watu kuwa hayupo. Wanajua kuwa watu wakimwamini Mungu, wao kama illuminat hawana chao tena. Wao walishachagua kumwabudu shetani kwa hiyo usalama wao ni watu wengine wasijue kuwa Mungu yupo. Ndio maana nchi zilizoendelea illuminati wamefanya SANA kazi ya kumfuta Mungu miongoni mwa watu.Mimi siamini hata katika dini yoyote, dini zote ni mind control tool na zimeletwa na hao Illuminatti.
Mimi naona binadamu hapaswi kuwa na dini, dini yake ni yeye mwenyewe kama kukiabudu basi jiabudu wewe.
We are sovereign rulers of our selves..
Hakuna haja ya kuabudu kitu usichokijua, wala haisikilizi, binadamu hajawahi kumuona Mungu sasa unawezaje kuthibitisha kuwa hii miungu ipo., inawezekana sisi ndo miungu ila hatujitambui hivyo kupoteza na kusahau asili yetu na uwezo.
Mungu huyo wa wayahudi aitwaye El au Elohim ni muuaji, pia ni mwongo.
Aliwadanganya wayahudi naenda kuwapa nchi ya ahadi Kanaan walichombulia ni vifo na vita hadi leo hakuna cha Kanaani wala nini, wakristo wameambiwa wasubiri kanaani ya mbinguni kwa nini kama sio uwongo.
Siabudu Mungu mimi, mi ndo kila kitu
Hii ya kujiabudu mwenyewe ni moja ya New age. Wanasema ur god urself. Ndio maana dini za mashariki zina ile kitu incarnation. Kimsingi ni kuondoa wazo kuwa sisi ni Viumbe, tuliumbwa na yupo Muumbaji. Hauko mbali na Masonic ritualsMimi siamini hata katika dini yoyote, dini zote ni mind control tool na zimeletwa na hao Illuminatti.
Mimi naona binadamu hapaswi kuwa na dini, dini yake ni yeye mwenyewe kama kukiabudu basi jiabudu wewe.
We are sovereign rulers of our selves..
Hakuna haja ya kuabudu kitu usichokijua, wala haisikilizi, binadamu hajawahi kumuona Mungu sasa unawezaje kuthibitisha kuwa hii miungu ipo., inawezekana sisi ndo miungu ila hatujitambui hivyo kupoteza na kusahau asili yetu na uwezo.
Mungu huyo wa wayahudi aitwaye El au Elohim ni muuaji, pia ni mwongo.
Aliwadanganya wayahudi naenda kuwapa nchi ya ahadi Kanaan walichombulia ni vifo na vita hadi leo hakuna cha Kanaani wala nini, wakristo wameambiwa wasubiri kanaani ya mbinguni kwa nini kama sio uwongo.
Siabudu Mungu mimi, mi ndo kila kitu
Duuu! Nitaokoa pesa kwani tozo hazitanihusu, umeme mwilini mwangu!Ndugu yangu, kilichomo ndani ya chanjo kimeshabainishwa kuwa ni graphene oxide. Hii ni carbon material ambayo ni highly sensitive kwa emf (electromagnetic field). Hii ndiyo inayosababisha miili ya watu iwashe taa na iwe na usumaku. Kwa hiyo, wanaposeti mawimbi kwenye frequency fulani, hiyo GO inaamka na kujipanga mwilini kuunda circuitry. Na hiyo ndiyo itakayozaa kile kinachoitwa internet of bodies. Yaani miili inakuwa connected na mtandao kama ilivyo simu au kompyuta.
Mkuu hiyo taa (balbu) ni volt nnģapi?Mimi pia sisemi kuwa KILA chanjo ina dalili zilezile. Lakini unasemaje kuhusu mtu kama huyu mkuu.
NI mental slavery tu hakuna kingine. Magu alituingiza kwenye right truck - maneno kama: nchi hii si masikini, Tanzania inaweza kujitegemea na hata kutoa misaada, tembeeni kifua mbele, nk. Yale hayakuwa maneno madogo. Kile unachofikiri, ndivyo ulivyo. Hayo ndiyo yalikuwa ukombozi.Moja ya nada tamu sana na fikirishi.
Naamini "Jiwe" alikuwa moja ya mtu wa tofauti sana,ukiondoa madhaifu yake ya kibinadamu. Nikiangalia leo kama nchi,tunatapatapa sana bila kujua uelekeo wetu ni upi kuhusu coronavirus.
Jambo lingine huwa najiuliza kwanini nchi zetu haziwekezi kwenye tafiti zaidi na ugunduzi na uvumbuzi?! Kwanini tuletewe kila kitu kutoka nje wakati wapo tunaowaita wasomi wenye nyeti na ujuzi mzuri ndani kwetu,tunakwama wapi kama taifa?!
Asanteni sana wachangiaji wote,naendelea kujifunza hapa.
Nisaidie mkuu. Kwa mfano, nimechanja leo, ikipita mwezi mzima nikiweka balbu bado itaendea kuwaka?sifahamu ni kiasi gani mkuu, ila ninachojua ni jambo moja, mikonoiliyochanjwa inawasha lakini mtu yuleyule mkono ambao haujachanjwa hauwashi.
Mkuu, mambo mengi bado yapo kwenye stage za mwanzo. Kuna ambao wanasababisha taa ziwake, wengine hawasababishi. Kuna wengi ambao wamelemaa baada ya kupokea chanjo, wengine hawajalemaa. Kuna wengi wamepoteza maisha, wengine wazima. Kwa hiyo, kwa sasa, kama ambavyo wataalamu wengi wameshasema, dunia haijui long term effects za chanjo hizi. Isipokuwa jambo moja ni dhahiri - WHO na makampuni ya dawa wamekuwa WAKISEMA UONGO mwingi, kuanzia upimaji wa mwanzo kabisa wa kutumia PCR test, kutangaza idadi ya waliombukizwa na waliopoteza maisha, nk. Kwa hiyo ndio maana wengi wanasema suala hapa si korona bali wana jambo lao tofauti. So, mkuu, ni vigumu kujua for sure nini kitatokea baadaye.Nisaidie mkuu. Kwa mfano, nimechanja leo, ikipita mwezi mzima nikiweka balbu bado itaendea kuwaka?
Mi najionea na kusikia MAZAUZAU tu