Mwandishi wa kitabu cha janga la Titanic miaka ile alipoandika kuwa kuna meli kubwa itakuja na kuua watu wengi, wengi walimbeza na kusema conspiracy akiwemo msomi mmoja wa mambo ya baharini na meli, ila baada ya tukio lile hakuwahi kusema kitu mpaka kufa kwake.Conspiracy theories
Hebu tujitafakali na hili hapa, Mrusi, Amerika, England, China, India nk, kila mtu ana chanjo yake na soko kubwa wanatarajia kwa vinchi masikini.Sawa. Japo kwa wengine inaweza kuwa too late kwa mwendo wa mambo unavyoenda. Hizi zote ni juhudi za kujaribu kuamsha watu japokuwa mtu unajizuia kusema kila kitu wazi kwa kuwa wengi hawatakuelewa; watakubeza na hatimaye utawaacha usingizini tena. Things are not very good.
NI kweli wana ajenda. Japo ajenda hii si ya white man. Tukisema hivyo, tuna-miss the mark. Kama ambavyo mtu akisema hizi NI CHANJO, tayari amemiss the mark. Maana wanaokufa ni weupe kwa weusi. Ukweli ni kwamba hii ni ajenda ya wale wanaoitwa globalists, illuminati, ambao wana ajenda ya kupunguza SANA wanadamu. Na wale watakaobakia wawe watumwa wao huku wakitawalia kwa totalitarian method kupitia one world government.Hebu tujitafakali na hili hapa, Mrusi, Amerika, England, China, India nk, kila mtu ana chanjo yake na soko kubwa wanatarajia kwa vinchi masikini.
Na soma hii; Falme za arabuni mpaka kule Mecca hawana real approved vaccination kama taifa, juzi hapa wametoa statement kuwa wale wote wanaotaka kwenda kuhiji lazima wachome Amerikani chanjo! What 😨!.
Ffrom that point nakuja kwa mada yako up to those graphene oxide and gramma, this white man or mabeberu they've inner secret up to human.
Sina uhakika kwa kweli ila wengi wetu tunasumbuliwa na mental slavery ya kudhani wazungu ni watu wazuri . Kwa hiyo, tunaangukia kwenye plan zao kwa kuchekelea vimisaada, ambavyo kimsingi ni pesa zinazotokana na maliasili zetu. Ndio maana wazungu hawapendi kabisa watu aina ya Magufuli wenye mental freedom.Hivi kuna mwafrika ambaye ana ajenda ya kupunguza idadi ya binadamu Teleskopu ?.
Hii lazima uwe na uelewa kutofautisha vitu.Tatizo watu hawaelewi Teknology na Conspiracy iliyopo duniani!
Ukiwaambia watu " suala la Internet of things" hawana habari wanasali na kuswali makanisani na misikitini wakimngojea Kristo na Mehdi.
Hawajui kuwa wanaenda kuchezeshwa movie ya ujio wa hao "deities" ndani ya brain zao kupitia global computer ambao utaunganisha devices with humans..
Tumwchanja na miili haiwaki taa…/ tumejaribu hadi basiNdugu yangu, kilichomo ndani ya chanjo kimeshabainishwa kuwa ni graphene oxide. Hii ni carbon material ambayo ni highly sensitive kwa emf (electromagnetic field). Hii ndiyo inayosababisha miili ya watu iwashe taa na iwe na usumaku. Kwa hiyo, wanaposeti mawimbi kwenye frequency fulani, hiyo GO inaamka na kujipanga mwilini kuunda circuitry. Na hiyo ndiyo itakayozaa kile kinachoitwa internet of bodies. Yaani miili inakuwa connected na mtandao kama ilivyo simu au kompyuta.
Mkuu, unasema umejaribu hadi basi kwa waliochnjwa.Tumwchanja na miili haiwaki taa…/ tumejaribu hadi basi
zile taa zinazowaka baada ya kugusa binadamu huwa zinawaka uwe umechanja au la na sio technology mpya
ApologiesMkuu, unasema umejaribu hadi basi kwa waliochnjwa.
Je, umejaribu na wasiochanjwa na ukafanikiwa kuwasha taa? maana umesema "zinawaka uwe umechanjwa au la". Je, kuna uliyemjaribu akawasha taa ilhali hajachanjwa?
Ulichopost ni kweli mkuu lakini SI PROOF kwamba chanjo haiwashi bulb. Ni proof tu kwamba kuna source of energy zaidi ya moja zinazowasha bulb.Apologies
kuna taa ambazo zinawaka ukizigusa uwe umechanja au la…
na hakuna taa inayowaka simply because Iko na contact na aliyechanjwa
This Flashlight Is Powered by the Touch of Your Hand
A high school student has invented an LED device that uses body heat to light upwww.smithsonianmag.com
Ndugu haiwashi bulb wala niniUlichopost ni kweli mkuu lakini SI PROOF kwamba chanjo haiwashi bulb. Ni proof tu kwamba kuna source of energy zaidi ya moja zinazowasha bulb.
Kama graphene oxide ipo kwenye chanjo it is the same like lipid nanoparticles which are purported to be the vaccine delivery mechanisms. Kuna analysis moja imefanywa na scientists ikionyesha levels za lipid nanopaticles zikiwa kwenye organs ndani ya masaa 24 baada ya kupata chanjo na kiwango cha juu kikiwa kwenye ovaries jambo ambalo linaweza kuashiria madhara kwenye mfumo wa uzazi (reproductive toxicities). Sasa hilo la graphene oxide kuhusishwa na haya mambo ya connectivity of human bodies kupitia radiations limenishangaza sana, nafikiri ndo gwajima alikuwa anasema kuhusu miili ya wanaochanja kuwa na usumaku......hawa watu wana ajenda ya hatari sana kwa binadamu, mkuu kama unaweza tudadavulie pia hiki kinachoitwa 'a great reset' au 'agenda 2030' inahusu ishu gani hasa....Ndugu yangu, kilichomo ndani ya chanjo kimeshabainishwa kuwa ni graphene oxide. Hii ni carbon material ambayo ni highly sensitive kwa emf (electromagnetic field). Hii ndiyo inayosababisha miili ya watu iwashe taa na iwe na usumaku. Kwa hiyo, wanaposeti mawimbi kwenye frequency fulani, hiyo GO inaamka na kujipanga mwilini kuunda circuitry. Na hiyo ndiyo itakayozaa kile kinachoitwa internet of bodies. Yaani miili inakuwa connected na mtandao kama ilivyo simu au kompyuta.
Poa mkuu Nyumisi nitatengeneza post kuhusu hayo mambo japo kwa kifupi Great Reset ni lugha nyepesi ya kuficha New World Order ambacho ndicho wanachomaanisha. Na kiranja anayewika sasa kwa jambo hili ni Klaus Schwan ambaye ni mkuu wa World Economic Forum. Hawa ndio wanaopigia debe sana chanjo. Huyu ndiye anayesema kuwa dunia LAZIMA ikubali kuingia kwenye 4th Industrial revolution. Agenda 2030 ni jambo lileile lakini tuombe Mungu nitaandaa post ya kila kipengele.Kama graphene oxide ipo kwenye chanjo it is the same like lipid nanoparticles which are purported to be the vaccine delivery mechanisms. Kuna analysis moja imefanywa na scientists ikionyesha levels za lipid nanopaticles zikiwa kwenye organs ndani ya masaa 24 baada ya kupata chanjo na kiwango cha juu kikiwa kwenye ovaries jambo ambalo linaweza kuashiria madhara kwenye mfumo wa uzazi (reproductive toxicities). Sasa hilo la graphene oxide kuhusishwa na haya mambo ya connectivity of human bodies kupitia radiations limenishangaza sana, nafikiri ndo gwajima alikuwa anasema kuhusu miili ya wanaochanja kuwa na usumaku......hawa watu wana ajenda ya hatari sana kwa binadamu, mkuu kama unaweza tudadavulie pia hiki kinachoitwa 'a great reset' au 'agenda 2030' inahusu ishu gani hasa....
Sasa hapo hujaelewa nini?Mimi pia sisemi kuwa KILA chanjo ina dalili zilezile. Lakini unasemaje kuhusu mtu kama huyu mkuu.