Connect the dots

Plus corona na hayo maluelue ndo utajua inaenda wapi!.
 
Kwamba hizo switch zina sababisha delta force? Fafanueni kidogo basi jamani...
Ndugu yangu, kilichomo ndani ya chanjo kimeshabainishwa kuwa ni graphene oxide. Hii ni carbon material ambayo ni highly sensitive kwa emf (electromagnetic field). Hii ndiyo inayosababisha miili ya watu iwashe taa na iwe na usumaku. Kwa hiyo, wanaposeti mawimbi kwenye frequency fulani, hiyo GO inaamka na kujipanga mwilini kuunda circuitry. Na hiyo ndiyo itakayozaa kile kinachoitwa internet of bodies. Yaani miili inakuwa connected na mtandao kama ilivyo simu au kompyuta.
 
Tatizo watu hawaelewi Teknology na Conspiracy iliyopo duniani!

Ukiwaambia watu " suala la Internet of things" hawana habari wanasali na kuswali makanisani na misikitini wakimngojea Kristo na Mehdi.
Hawajui kuwa wanaenda kuchezeshwa movie ya ujio wa hao "deities" ndani ya brain zao kupitia global computer ambao utaunganisha devices with humans..
 
Mtaalamu, unaweza kuzama zaidi kwenye hii elimu, uibukie hapa, utupe somo kwa lugha hii hii yetu kwa uzi maalum kabisa?

Naomba unishtue ukifanikiwa kufanya hivyo hapa JF👍
 
Hebu ngoja tuitunze hii mada kwa siku za usoni, maana haya mambo haya kuna wakati tunapaswa kuwa waangalifu kama tunapompa rais siju 100 za matazamio ndivyo na hizi kitu tinapaswa kutunza muda!.
 
Tumsubirie Askofu Gwajima maana yeye ndio mtaalamu wa Telecommunications anaweza kudadavua madhara ya non-ionizing radiation 🐒
 
Hebu ngoja tuitunze hii mada kwa siku za usoni, maana haya mambo haya kuna wakati tunapaswa kuwa waangalifu kama tunapompa rais siju 100 za matazamio ndivyo na hizi kitu tinapaswa kutunza muda!.
Sawa. Japo kwa wengine inaweza kuwa too late kwa mwendo wa mambo unavyoenda. Hizi zote ni juhudi za kujaribu kuamsha watu japokuwa mtu unajizuia kusema kila kitu wazi kwa kuwa wengi hawatakuelewa; watakubeza na hatimaye utawaacha usingizini tena. Things are not very good.
 
graphene oxide,nimekuwa interested kufanya ka research juu ya hii kitu...na ukijaribu ku google utaona tayari kuna speculations kuwa that substance inasemekana imo ndani ya chanjo ya COVID-19.

MUNGU atusaidie na kuturehemu katika hili...ma a na kama ni kweli hakika hali si shwari kabisaa.
 
Conspiracy theories
 
Imo kwenye karibu chanjo zote, ni poisonous, ina very high conductivity, na iko very sensitive kwa joto na potential nyingine nyingi. Unaweza kusoma ripoti hii ya uchunguzi uliofanywa na La Quinta Columna wa Hispania kuna mengi utajifunza mkuu --- OFFICIAL INTERIM REPORT IN ENGLISH (UNIVERSITY OF ALMERIA).pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…