connect 2 Wilan

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Bandugu vipi kuhusu maujanja ya kuconnect kimagumashi divice ka cm inayosaport Wi-fi kwenye area yenye wireles intrnt connctn.
Nawasilisha!
 
mh! Hii kitu naikutaga kwenye simu yangu lakini sijui matumizi yake,ngoja waje wataalamu watusaidie.!
 
simu ku support Wi-fi haimanishi inaweza uka conect kwenye wireless divice yoyote ile

Mara nyingi hospot zinakua na security key ila kama unafahamu security key au hapo ulipo hiyo hotspot haina key yoyote ile basi unaweza uka connect kwenye internet

Nasikuhizi karibu kilakitu kinasuport wifi "intelligent device"
 
mia mia Kazz!
 
Back
Top Bottom