REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
Wakubwa heshima zenu.
Wenzangu habari zenu.
Wadogo zangu hope mpo poa.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Napenda kufungua kikao hichi ambacho lengo lake dhairi ni kuzingatia hoja zifuatazo.
~Ni sifa gani muhimu tunalenga kwa mwanamke ili aweze kukidhi mahitaji ya moyo wako,akili yako,matamanio yako na mtazamo wako kama mpenz au mke ambaye hutojutia na ni kama ndoto umempata.
~Pili,tabia zipi unapenda awe nazo au kama hana,umshape awe nazo ili uweze jenga chemistry itayobond na yeye mpaka hatima yenu.
~wapi sehemu sahihi ya kuanza relationship,japo wengi hudai kokote mbegu huota ingali wanasahau ardhi zinatofautiana.mijini,vijijini n.k
~nne,zaidi ya mapenzi ni vitu gani tofauti ambavyo ni necessary uvipate kwa mwanamke zaidi ya mapenzi.
~mwisho ni kitu gani hususan unachoona ni muunganiko sawia kati ya wawili mpendanao,je ndoa,mapenzi tu,urafiki na kustarehe kila uchao.
Hoja hizo juu zinashabiana na kuingiliana but logically zinajitegemea kimantiki.
Mimi naona kwa kuanza mapenzi ya mtandaoni ni virtual reality sifa humu hujengwa kwa mazingira ya weledi wa juu ili tu kusatisfy individual feelings virtually and not realistic.+++++(mwanamke sifa ya kwanza awe na AKILI TIMAMU)
KARIBUNI.