Ewing ni moja kati ya vipaji NBA vilivyotoka kwa mungu.
ingawa mpaka sasa NBA kuna mvuto tena mkubwa tu, ila siku akisimama jamaa kwenye dimba la madison square basi watu watasimama huku wakimpigia makofi na kumvulia kofia.
dah game theory leo umenikumbusha moja kati ya mashujaa wa juu kabisa wa NBA...big up