Hii ndio tafasiri sahihi ya kwamba
DEMU AKIWA MRAHISI BASI ATAAMBIWA KILA AINA YA LUGHA RAHISI.
Maneno kama haya, Huwezi kaa umwandikie Faiza Fox..kwann??!!!! .
Kwa sababu kwa kila mmoja alivyojichora ndivo na jamii inavyomchukulia.
Najua unatania..hata mimi nimetania tu.