Congo weird bike ride

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
chukudu-soldiers.jpg
 
Hao saa zote wako porini, walisettle lini hadi wakakusanya vitu namna hiyo kama si uporaji?
Na wale kule nyuma wanajisaidia nafaka...loooh, bazee bana kaazi kweli kweli.
 
hii nchi ni tajiri kwelikweli lakini mambo yake yaani kama zama za uwimbombo na ulindi
 
hii nchi ni tajiri kwelikweli lakini mambo yake yaani kama zama za uwimbombo na ulindi

inafanywa iwe hivyo makusudi mkuu il wenye meno yao wajilie ataratibu katikati ya moshi wa mabomu na risasi!lile haramia la kirusi/soviet....Victor Boutt mfano mmojawapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom