Congo: Watu 19 wauawa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Mamlaka za mashariki mwa Congo watu 19 wauawa. Donat Kibwana, kiongozi wa Kivu amesema watu tisa kati ya hao walitenkwa Ijumaa na wapiganaji wa ADF na miili yao ikakutwa Kaskazini mwa Kivu wakiwa wamefariki

Aidha katika mkoa wa Ituri, wapiganaji wa ADF waliwaua wananchi 10 wa kijiji cha Bukaka. Watu hao waliuawa kwa mapanga huku wengine wakiwa wameuawa kwa risasi

Wapiganaji wa ADF wanalaumiwa kuua takribani watu 500 tangu mwaka 2019. Jeshi la Congo lilitangaza kampeni dhidi ya ADF

ADF ni jeshi lililoundwa Uganda miaka ya 1990, yakiwa na nia ya kupinga uongozi wa Rais Museveni. Mwaka 1995 yalihamia Congo na tangu hapo yalianza kuishambulia Congo

====

At least 19 civilians have been killed in the restive eastern Democratic Republic of the Congo at the weekend in attacks blamed on a notorious armed group, local officials said.

Nine people were kidnapped on Friday by the Allied Democratic Forces (ADF), and their bodies were found in the province of North Kivu, which borders Rwanda, regional administrator Donat Kibwana said on Sunday, adding that their burials were under way.

In the neighbouring Ituri region, ADF fighters attacked the village of Bukaka late on Saturday and killed 10 civilians, local official Bananilao Tchabi told AFP news agency

Civil society leader Raphael Bon Benogo said the victims were five men, three women and two children. "Some were killed with machetes and others with firearms," he said

The ADF has been blamed for killing about 500 people since last year in retaliation for an army crackdown on their bases in the forests around the Beni region

In another incident on Saturday in Fizi, in South Kivu province, gunmen from a "coalition of armed groups" attacked an army unit, killing two soldiers, a local army spokesman said

Dozens of armed groups operate in eastern DRC, a legacy of the two Congo wars in the 1990s that pulled in neighbouring Uganda and Rwanda.

The army last year launched a campaign against the ADF after the group was blamed for dozens of attacks in the region, which also struggles with inter-ethnic fighting.

The ADF originated in neighbouring Uganda in the 1990s, opposed to the rule of long-serving Ugandan President Yoweri Museveni.

In 1995, it moved into the DRC, which became its base of operations, although it has not carried out attacks inside Uganda for years.

Aljazeera
 
... hivi huyu Rais "mpya" wa DRC mbona kama yupo yupo tu! Ataiweza ile nchi kweli? Anyway, business as usual la muhimu ni madaraka as it has been elsewhere in Africa.
 
Killers kills innocent people the way want, yaani kama vile hakuna utawala. Hii ndio afrika viongozi wako busy kubadili katiba ili wasalie madarakani hadi kifo kiwakute hapo. RIP
 
Hivi kweli hiyo nchi hamna Askari na jeshi la kupambana na hao waasi. Hv afica tumeshindwa kuwasaidia hao wenzetu zidi ya hao waasi?
 
KTK NCHI ZENYE LAANA MOJA WAPO NI HIYO. INATAKIWA IPATE DUAA SANA. INASIKITISHA KWA KWELI.
Mamlaka za mashariki mwa Congo watu 19 wauawa. Donat Kibwana, kiongozi wa Kivu amesema watu tisa kati ya hao walitenkwa Ijumaa na wapiganaji wa ADF na miili yao ikakutwa Kaskazini mwa Kivu wakiwa wamefariki

Aidha katika mkoa wa Ituri, wapiganaji wa ADF waliwaua wananchi 10 wa kijiji cha Bukaka. Watu hao waliuawa kwa mapanga huku wengine wakiwa wameuawa kwa risasi

Wapiganaji wa ADF wanalaumiwa kuua takribani watu 500 tangu mwaka 2019. Jeshi la Congo lilitangaza kampeni dhidi ya ADF

ADF ni jeshi lililoundwa Uganda miaka ya 1990, yakiwa na nia ya kupinga uongozi wa Rais Museveni. Mwaka 1995 yalihamia Congo na tangu hapo yalianza kuishambulia Congo

====

At least 19 civilians have been killed in the restive eastern Democratic Republic of the Congo at the weekend in attacks blamed on a notorious armed group, local officials said.

Nine people were kidnapped on Friday by the Allied Democratic Forces (ADF), and their bodies were found in the province of North Kivu, which borders Rwanda, regional administrator Donat Kibwana said on Sunday, adding that their burials were under way.

In the neighbouring Ituri region, ADF fighters attacked the village of Bukaka late on Saturday and killed 10 civilians, local official Bananilao Tchabi told AFP news agency

Civil society leader Raphael Bon Benogo said the victims were five men, three women and two children. "Some were killed with machetes and others with firearms," he said

The ADF has been blamed for killing about 500 people since last year in retaliation for an army crackdown on their bases in the forests around the Beni region

In another incident on Saturday in Fizi, in South Kivu province, gunmen from a "coalition of armed groups" attacked an army unit, killing two soldiers, a local army spokesman said

Dozens of armed groups operate in eastern DRC, a legacy of the two Congo wars in the 1990s that pulled in neighbouring Uganda and Rwanda.

The army last year launched a campaign against the ADF after the group was blamed for dozens of attacks in the region, which also struggles with inter-ethnic fighting.

The ADF originated in neighbouring Uganda in the 1990s, opposed to the rule of long-serving Ugandan President Yoweri Museveni.

In 1995, it moved into the DRC, which became its base of operations, although it has not carried out attacks inside Uganda for years.

Aljazeera
 
Wacongo ka wapalestina tu, wanauwana SANA, lakini hawaishi...

Ila greedy, choyo na ubinafsi ndiyo imewafikisha hapo! R.I.P wasio na hatia...

Everyday is Saturday........................ :cool:
 
Back
Top Bottom