Congo na Rwanda

Kwani wanaanza kupigana lini maana hii ya Russia-Ukraine haina jipya?
 
Umeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique [emoji1174] wameondolewa na jeshi la Rwanda [emoji1206] sio sadc
Msumbiji pale ni kazi ya Mfaransa katoa hela na vifaa Rwanda ilitoa personel tu. Rwanda anakuwa overrated sana.Wajomba wakimchoka kagame watamtelekeza tu.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…