Acha upumbavu wewe ni Israeli wawapi una tengeneza vitu alafu una waondowa uo uisraeli Wako uko wapi wewe pamoja Na usraeli wenu ipo siku yenuUmeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique [emoji1174] wameondolewa na jeshi la Rwanda [emoji1206] sio sadc
Huyo aliyelala hapo chini mbona kama m jwtzCongo ili kupigana Na Rwanda tunabidi tutumie Akili nyingi
Sawa Rwanda ni inch ndogo kuliko Congo
Sawa Congo ni inch yenye nguvu kuliko Rwanda ila tunatakiwa tujuwe walio nyuma ya Rwanda ni Akina Nani au Rwanda wana nguvu kiasi gani tusiseme tu Rwanda ni inch ndogo kumbe maskini ya Mungu wana vifaa vya mangamizi kuliko sisi au walio nyuma ya Rwanda wana nguvu kuliko sisi Sasa ina bidi tujipange vizuri tusije tukapigwa mpaka kusambaratika inch Tena tunawachia wao pale wanaweke kibaraka chao Tena sisi tuna kuwa watumwa wao
Ninacho weza kusema kwa inch yangu Congo inabidi tutumie Akili nyingi saana ili kuzibidi Rwanda vizuri
Sio kuandamana saana kama wajinga ni upumbavu mkubwa inch kama Congo kuandamana Kisa Rwanda yaani wakongo sisi ni Mungu tu na akishajua kifaransa vizuri ndo basi tumekufa Ivo
Tunacho paswa kufanya ni hiki Rwanda kule wenyewe wanakuwaga Na migogoro Yao kati ya watusi Na wauti na ambao wamechoka Na udicteta wa Kagame Na wengine wengi Sasa sisi wakongo inabidi tutumie Akili yetu vizuri kuwachonganisha wao kwa wao Na amini watapigana tu na wakianza kupigana sisi Congo tunafadhili kikundi kile ambacho kitakuwa kinapigana Na kikundi cha raisi kwa kuwapa vifaa vya kisasa Na kuwapa uduma zingine alafu sisi Sasa tunaweza kutumia njia hiyo kumtowa Kagame madarakani Na kupandikiza kibaraka wetu pale
Kuliko kupigana vita hiyo ni Atari kubwa kwa taifa letu maana Na amini tutashindwa tu
View attachment 2251482
Usichukulie Rwanda poaCongo acheni ulofa...mnaogopa nchi kama Mkoa tu?
Ni ushauri mzuri tuko tayari kumpa ushirikianoCongo waombe msaada tz wakifanya hivyo PK atafunga mdomo.
Unafikiri Rwanda nao hawana wa kuwapa msaada Mimi nasema wawapige Ivo Ivo nilivyo semaNi ushauri mzuri tuko tayari kumpa ushirikiano
Umeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique [emoji1174] wameondolewa na jeshi la Rwanda [emoji1206] sio sadc
Acha upuuzi Mkuu.Umeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique [emoji1174] wameondolewa na jeshi la Rwanda [emoji1206] sio sadc
Watu wenye ufahamu wanajibia hoja not to attack a person, prove me wrong kuwa sio Rwanda Army waliokomboa ule mji na eneo lile, matusi hayo unajidhihirisha ukomo wa mawazo yako,not blaming you ni system mbovu iliyotuzalishia vihiyo.Acha upuuzi Mkuu.
Teknolojia gan ambayo anatumia ambayo uganda na Congo haipo mkuu ?Ila kagame sio wa kumchukulia poa jamaa anatumia technology kwenye Vita siyo maguvu
Vita gani ya maana ambayo Rwanda ameoigana na ukayajua hayo.Ila kagame sio wa kumchukulia poa jamaa anatumia technology kwenye Vita siyo maguvu