Congo kunatisha

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
Kuna wanaume wamekimbia congo kutokana na kufanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wanajeshi wa Congo source taarifa ya habari ya TBC1
 
unashangaa hilo mbona hadi wanakula watu wenzao vile viemoro vya kongo..
 
Kuna wanaume wamekimbia
congo kutokana na kufanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wanajeshi wa Congo
source taarifa ya habari ya TBC1

Bado kuna vita tena huko? mbona War Lord Ntaganda wameshamuweka mikononi, sasa hizi story za vita zinatoka wapi tena?
 
Bado kuna vita tena huko? mbona War Lord Ntaganda wameshamuweka mikononi, sasa hizi story za vita zinatoka wapi tena?

Mkuu kumbuka kuna mbinu nyingi za kueneza habari potofu - misinformation, kumbuka hata jamaa wa Rwanda (usalama) wamo humu kwa madhumini hayo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…