Congo ina plan 50 Gigawatt, grand Inga Hydroelectric Dam!

Yes ku rely kwenye wa maji tu ni biggest single source of failure, as time inazidi dunia inatafuta vyanzo vingine zaidi ya maji. Imagine tanzania tungekuwa na multiple sources za umeme? Leo hii tungepata shida ya mgao?
Watetezi na wanufaika wa mgao wanasema 'lazima' mgao ungelikuwepo sababu ya uchakavu wa miundo mbinu!

Hata sasa umeme kuongezewa, wanatafuta 'kiswahili' cha kufanya ili mgao uendelee.
 
Wachina wala hawakuwasikiliza mabeberu wakati wanajenga "Stiglaz" yao ya Three Gorges dam (23GW). Wachina walizamisha vijiji kadhaa ili kupata umeme, wakahamisha raia wao na kuwapeleka maeneo salama. Leo wana umeme wa bei rahisi ambao unaendesha viwanda vya 24/7 na kutupatia bidhaa kwa bei ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…