jinamizi gani limeingilia mapenzi ..
Kila kukicha jipya.
Sasa nakushauri mahipsi, fuatilia post za
MziziMkavu
alafu nani kakwambia kwamba ukimwacha huyo ndo utampata mfikisha vilele... Afu usikute tatizo ni lako wewe.. Unakaa kama gogo kunako shughuli wategemea nn?