Elections 2010 CONFIRMED: Mbozi Mashariki - CHADEMA washinda ubunge

K

Kahamba

Member
Nov 1, 2010
58
0
chadema wamechukua jimbo la mbozi mashariki, kama ilivotangazwa na star tv. chademaaa juuuuuuuu:evil:
Nimefurahi sana kusikia kijana Silinde ameshinda. Simfahamu lakini nimependa sifa nilizosikia juu yake. Nimtetezi wa kweli. Hongera Silinde. Hongera Chadema.
 
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
3,931
2,000
Nimefurahi sana ndugu zangu wana Mbozi...
 
K

Kashishi

JF-Expert Member
Apr 11, 2010
1,103
1,225
Nimesikiliza hapa ITV confirmed huko Mbozi

Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu

MAKULILO
Safi sana hii Makulilo. Tunahitahitaji vijana wenye vision na moyo wa kujituma na kuthubutu kama huyu. Vijana wenye ujasiri wa kutetea haki bila kuogopa utashi wala vitisho vya watawala.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom