Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria maandiko ya kwenye vitabu !!! Hivi hizi akili za kunakili mnazitoa wapi?...Kama imani ya mtu inamruhusu kufuga mnyama huyo MWACHE, siyo unakaa unamshambulia na maneno yasiyo pua wala kisigino; wacha watu wajenge uchumi imara kwa jasho halali!! MIMI NAFUGA HUYU MNYAMA KWA MIAKA MINGI SANA, NA MUNGU NAMPATIA SADAKA YA NGURUWE NA ANAIPOKEA NA ANABARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU-MWANADAMU NI KIDUDU GANI!!

MUNGU HAWEZI UMBA MNYAMA KISHA AMHARAMISHE, HUYO MUNGU ATAKUWA KICHAA?
Kwani umefunga?Nimemiss hii nyama balaa

Jamani sio poa mnawaharibia wenzenu swaumu yao kuweni waungwana basi kidogo
Kwani unaishi mashariki ya kati? Aisee pole sana; karibu kwangu nikuchinjie dume! hahaa