MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Like father like son. Ni mzee Makamba mwenyewe aliyewahi kusema eti watoto wa viongozi ndio wanastahili kuchukua uongozi na kwamba kama baba yako ni mfagizi au kinyozi basi na wewe mtoto utaishia kuwa mfagizi au kinyozi.
Endapo tunaamini mtoto hurithi toka kwa baba, then huyu January pia hana sifa za uongozi kama ilivyo kwa baba yake. Na kama baba aliwahi kushindwa kwenye jimbo hilo hilo, sasa mtoto atawezaje? It's pure logic.

..kwenye mahojiano yake na Blog ya Mohamed Dewji alitoa "hint" kwamba ana mipango ya kugombea ubunge.
..labda JK ana mipango ya kumteua January kuwa Waziri ukizingatia ile ahadi yake kwamba ana mipango ya kuongeza vijana ktk cabinet yake.
..kwa upande wangu, ningependa kuona kijana msomi kama huyu akiwa ni back bencher wa CCM ili atoe changamoto kwa serikali goigoi ya CCM.
Mara nyingi watu waliopanda kazini kutumia migongo ya baba au ndugu zao hawaoni ufisadi wa kisiasa unaofanywa na viongozi wa CCM kuwaprop watoto wao ili baadae wawalinde na uvundo watakaouacha. January Makamba anataka kutumia ukaribu wa baba yake kwa Rais[ ambao ndio umempatia kazi Ikulu] kama ndio nguzo yake ya kupatia Ubunge pamoja na support ya mafisadi papa[ through watu kama GT] ; hii ni weakness on his part or you could call it political opportunism ambayo watu wasiokuwa na SPINE ndio wanaitumia. If January is man enough na dada yake woman enough wangoje baba yaoa ondoke CCM halafu waingie ulingoni kutafuta Ubunge tuone kama watafua dafu!!Tumjadili Januari kama mtu anayejitegemea,Hatutokuwa tunamtendea haki Januari kama tutakuwa tunamuhusisha na kauli za Baba yake (Mzee Yusuph).Januari ana haki kikatiba kugombea Ubunge!Tumpe ushirikiano kama mwenzetu baada ya kumkatisha tamaa.
safii watu wanapata mwamko sasa! wanathani watawanunua kila wananchi siku zote!January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.
Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....
Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....
Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.
Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......
Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......
Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???
Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....
Tumpe ushirikiano kama mwenzetu baada ya kumkatisha tamaa.
WAKUU HESHIMA MBELE.
Mh. Makamba alishawahi kusema "MTOTO ALIYEZALIWA KATIKA NYUMBA YA JIZI LAZIMA ATAKUWA JIZI TU HATA AJIFINYANGEFINYANGE". Nadhani alipokuwa anayasema haya hakujua kwamba ipo siku itafika, mmoja kati ya wanawe atajikuta akiutaka uongozi. Kwa maana hiyo, pamoja na kwamba Januari ana haki ya kikatiba kugombea aina yoyote ya uongozi, lakini hatufai kwa sababu alizozisema baba yake. Sina haja ya kueleza sifa na aina ya uongozi aliokuwa nao baba yake kwani kila Mtanzania anamjua na ndiyo maana tulumkataa kwenye kura za maoni mara mbili alipokuja kutuomba ili awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni kwetu.
Bahati nzuri sana tukiwa wadogo niliwahi kuisha nao hawa watu mjini Tanga, wakati baba yake akiwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini. Unavyo waona hivyo ndivyo walivyo na ndivyo watakavyo kuwa.
Bumbuli tunasema hatumtaki kama tulivyo mkataa baba yake, vinginevyo angojee vya kupewa kama dingi.
.....Hakuna ubaya wowote kwa yeye kujitangaza, hata kama anataka kuwa mbunge ni sawa wampe ubunge kama ni sifa anazo.
Tusisilalamike hapa kwa kuwa ni mtoto wa Makamba, hata wewe unaweza kwenda kwenu kugombea ubunge kama sifa unazo.

Acheni longolongo...Inaelekea january ni tishio sana maana akitaka kufanya kitu lazima watuw atake kumpinga kamavipi na wewe basi nenda kagombee kwenye jimbo lenu kani kuna mtu aliyekatazwa...waachieni wananchi wa Bumbuli huko Soni hii issue siyo kukaa na kumdiscuss Next generation leader!!...
Inamaana leo FMES akitoka akasema anagombe jimbo la chamwino mtamkataa kwa sababu ni mtoto wa Malecela?....