Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............!

afadhali upige course usije ukashindwa kumquote Kiranga bure.

Tena course ya C++, lugha ya kutengenezea lugha.

Hivi nyie hamjui Masaki ya Dar ni photocopy ya Masaki ya Maneromango?

Sitanii, ukitoka mjini pita airport, pita majumba sita, pita Gongo la Mboto, pita Pugu, pita kona ya Chanika, pita Kazimzumbwi, pita Minaki, pita Kisarawe kuelekea Maneromango, utaikuta Masaki original huko.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.
 
Hapa tu umeandika kiswahili lakini sijakuelewa lol
Kiranga naomba nije kusoma tuition kwako!
 
Last edited by a moderator:
Tena course ya C++, lugha ya kutengenezea lugha.

Hivi nyie hamjui Masaki ya Dar ni photocopy ya Masaki ya Maneromango?
tutajulia wapi sie. Bora umekuja.
sweetlady uje hapa umquote kiranga ameongea kiswahili chepesi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
afadhali upige course usije ukashindwa kumquote Kiranga bure.

Tena course ya C++, lugha ya kutengenezea lugha.

Hivi nyie hamjui Masaki ya Dar ni photocopy ya Masaki ya Maneromango kama New York ilivyo photocopy ya York?

Sitanii, ukitoka mjini pita airport, pita majumba sita, pita Gongo la Mboto, pita Pugu, pita kona ya Chanika, pita Kazimzumbwi, pita Minaki, pita Kisarawe kuelekea Maneromango, utaikuta Masaki original huko.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.
 
afadhali upige course usije ukashindwa kumquote Kiranga bure.

Tena course ya C++, lugha ya kutengenezea lugha.

Hivi nyie hamjui Masaki ya Dar ni photocopy ya Masaki ya Maneromango kama New York, NY ilivyo photocopy ya York, UK?

Sitanii, ukitoka mjini pita airport, pita majumba sita, pita Gongo la Mboto, pita Pugu, pita kona ya Chanika, pita Kazimzumbwi, pita Minaki, pita Kisarawe kuelekea Maneromango, utaikuta Masaki original huko.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.
 
afadhali upige course usije ukashindwa kumquote Kiranga bure.

Tena course ya C++, lugha ya kutengenezea lugha.

Hivi nyie hamjui Masaki ya Dar ni photocopy ya Masaki ya Maneromango kama New York, NY, USA ilivyo photocopy ya York, UK?

Sitanii, ukitoka mjini pita airport, pita majumba sita, pita Gongo la Mboto, pita Pugu, pita kona ya Chanika, pita Kazimzumbwi, pita Minaki, pita Kisarawe kuelekea Maneromango, utaikuta Masaki original huko.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.
 
naomba tufanye wote hiyo ziara, wengine wageni wa mji.
 
hahahahahaha! Mwanafunzi wewe utakuwa mgumu kuelewa, mwepesi kusahau.

Hahahaha lazima mwalimu anifukuze daaah.....yaani wewe umepinda!

Utafanya Kiranga agome kunipa tuition sasa!
 
Last edited by a moderator:
naomba tufanye wote hiyo ziara, wengine wageni wa mji.

Hahahahahhahaaahha wewe njiani utaongeleshwa kingereza ujue.....hakyanani nimecheka kwa sauti lol.....unajiombea ziara?????
 
Afford emptysoulsanation compromisenteconty appsridrtyse implites............. Mwali, Kongosho na Asprin mpo hapo?
 
Last edited by a moderator:
naomba tufanye wote hiyo ziara, wengine wageni wa mji.

Haiko shaka, utajua hata viunga na mashamba yake. Almuradi heri tu nisije kukupeleka huko Mwali atoka, au ukaona gendaeka la Pazi laenda madogolini ukapiga ukelele.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahhahaaahha wewe njiani utaongeleshwa kingereza ujue.....hakyanani nimecheka kwa sauti lol.....unajiombea ziara?????

Huo mwendo Kizaramo tu, kama Kiingereza ni kile kilichotoholewa Vikindu na kuvundikwa Mkuranga shimo la mkaa kabla ya safari ya Msanga-Kisiju.

Tubu dhambi ya kumsema Kiranga mtukuza Kiingereza kabla sijakuhaini kwa staha za Kiswahili cha Utete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…