Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big: