Hongera sana Dr. Mbasa huu ni ushahidi kuwa ulikuwa umeshinda katika uchaguzi mdogo lakini walikuibia. Iwakilishe B'mulo vizuri ambako nilipata bahati ya kusomea kidato 2-4 miaka ya 80. Hongera Chadema na hongera wana Biharamulo.muda mfupi msimamizi wa uchaguzi jimboni humo Bw Zuber Mbyana amemtangaza Dk Antony Mbasa wa CHADEMA kuwa mshindi kwa kupata kura 20828 dhidi ya 19843 za Oskar Mkasa wa CCM.
Pia habari kutoka jimbo la Bukoba Vijijini Bw Jasson Rweikiza(CCM) ametangazwa rasmi kwa kupata kura zaidi ya 57,000 dhidi ya kura pungufu ya 5500 za Alstides Ndibalema wa CHADEMA
Ni aibu sikutegemea kama Lwakatare angeanguka bahati mbaya kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki na ile ambayo sisi Wahaya husema kuwa jirani yako kamwe hakuiti wewe kuwa ni Mwanaume/shujaa. Lakini watu wameshindwa kuangalia madhara ya misimamo hii ya kijinga na hivyo kuendeleza utawala wa CCM ambayo imeudidimiza sana mkoa huo.Hii safi sanaa......lakini hapo bukoba hapo bukoba hawa ombwenu mbona wanatuanguasha jamani?
wamemaliza kuhesabu au?chadema 20000+, kata 7, ccm 19000+, kata 8! Chadema oyeeeeeee!
Source: itv.
Ni aibu sikutegemea kama Lwakatare angeanguka bahati mbaya kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki na ile ambayo sisi Wahaya husema kuwa jirani yako kamwe hakuiti wewe kuwa ni Mwanaume/shujaa. Lakini watu wameshindwa kuangalia madhara ya misimamo hii ya kijinga na hivyo kuendeleza utawala wa CCM ambayo imeudidimiza sana mkoa huo.
Kaka una uhakakika na wewe unachokifanya sio ushabiki pia?