Elections 2010 CONFIRMED: Dk Mbasa atangazwa mshindi Biharamulo Magharibi (CHADEMA)

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
muda mfupi msimamizi wa uchaguzi jimboni humo Bw Zuber Mbyana amemtangaza Dk Antony Mbasa wa CHADEMA kuwa mshindi kwa kupata kura 20828 dhidi ya 19843 za Oskar Mkasa wa CCM.

Pia habari kutoka jimbo la Bukoba Vijijini Bw Jasson Rweikiza(CCM) ametangazwa rasmi kwa kupata kura zaidi ya 57,000 dhidi ya kura pungufu ya 5500 za Alstides Ndibalema wa CHADEMA
 
Hii ya B'mulo ni confirmed ndo nimamaliza kuongea na jamaangu huko ananambiwa mji wa B'mulo wazizima kwa shangwe!
 
Hii safi sanaa......lakini hapo bukoba hapo bukoba hawa ombwenu mbona wanatuanguasha jamani?
 
muda mfupi msimamizi wa uchaguzi jimboni humo Bw Zuber Mbyana amemtangaza Dk Antony Mbasa wa CHADEMA kuwa mshindi kwa kupata kura 20828 dhidi ya 19843 za Oskar Mkasa wa CCM.

Pia habari kutoka jimbo la Bukoba Vijijini Bw Jasson Rweikiza(CCM) ametangazwa rasmi kwa kupata kura zaidi ya 57,000 dhidi ya kura pungufu ya 5500 za Alstides Ndibalema wa CHADEMA
Hongera sana Dr. Mbasa huu ni ushahidi kuwa ulikuwa umeshinda katika uchaguzi mdogo lakini walikuibia. Iwakilishe B'mulo vizuri ambako nilipata bahati ya kusomea kidato 2-4 miaka ya 80. Hongera Chadema na hongera wana Biharamulo.
 
afadhali kidogo kagera maana ingekuwa aibu ya mwaka...karagwe inogile ila washenzi wana usiku mzimz wa kuchakachua
 
Hii safi sanaa......lakini hapo bukoba hapo bukoba hawa ombwenu mbona wanatuanguasha jamani?
Ni aibu sikutegemea kama Lwakatare angeanguka bahati mbaya kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki na ile ambayo sisi Wahaya husema kuwa jirani yako kamwe hakuiti wewe kuwa ni Mwanaume/shujaa. Lakini watu wameshindwa kuangalia madhara ya misimamo hii ya kijinga na hivyo kuendeleza utawala wa CCM ambayo imeudidimiza sana mkoa huo.
 
gud job wapiga kura. Wapiganaji bado tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha kifikra wakazi wa Pwani, tanga na morogoro kwani naona wao wanaendelea kuwakumbatia CCM!
 
Hongera sana kwa Dr Antony Mbassa..kwa ushindi huo.
Naona Wilaya ya chato wamechukua ya diwani 18 na Chadema nafasi 3
kwenye Ubunge CCM 36785 na chadema 14202
Magufuli kaibuka kidedea hapa
 
chadema 20000+, kata 7, ccm 19000+, kata 8! Chadema oyeeeeeee!
Source: itv.
 
Ni aibu sikutegemea kama Lwakatare angeanguka bahati mbaya kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki na ile ambayo sisi Wahaya husema kuwa jirani yako kamwe hakuiti wewe kuwa ni Mwanaume/shujaa. Lakini watu wameshindwa kuangalia madhara ya misimamo hii ya kijinga na hivyo kuendeleza utawala wa CCM ambayo imeudidimiza sana mkoa huo.

Kaka una uhakakika na wewe unachokifanya sio ushabiki pia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom