Confession - Nilivyotembea na mke wa mtu

Usisahau kutuhadithia kama wenye mali zao waliwahi kukudaka.
 
basi waona jambo la maana huku ni uzinzi tu unaendeleza.
 
kumbe we mshenzi ulikula mke wangu eh....haya let part two fasta tuburudike...hiin dio thread of the day
 
Wazinzi buwana!
 
Shanga milioni 1? haya tunasubiri ya Sinza. kwani nini bwana. sisi kazi yetu kusoma tu,
Wa Sinza atakuwa na shanga million 5 za dhahabu na huyu atakuwa akileta chakula cha usiku.[emoji6] [emoji12]
 
Sasa hao waume za wanawake hawa, si inabidi sir God aitishe kasmall teleconference? Manake hiyo chaos huko sijui kesi zitakuwaje aisee
Siku ya mwisho utakutanishwa live na waume za hao wanawake ujieleze na utaona adhabu yake ahahahah.
 
Stori kama hizi zenye matoleo zaidi ya moja,unatakiwa uziandike gazetini au utunge kitabu mkuu upige hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…